Nilipozoa kinyesi cha kichaa ndani ya eitiem.

Mkuu hiyo sauti ya mungu uliisikiaje mwenzetu??

Kwa masikio haya haya ya kawaida au kwa nini mkuu
 
Inasound vipi mpaka ukajua ni ya mungu?
Inaeleweka vizuri kama ushazoezwa kuwasiliana na Mungu. Fikiria tu namna unavyoweza kujua hii ni sauti ya flani hata kupitia mazungumzo ya simu.

Namna ilivyo rahisi kujua na kupambanua sauti za binadamu wenzako, za viumbe wengine, ndivyo pia ilivyo rahisi kujua sauti ya Mungu.
 
Bangi za wapi?
 
Umeelewaje mkuu?
Bumu-boom
Eitiem-ATM
Buranchi-branch
Siradibi-CRDB
Oppoziti-opposite
Ni ulivyotumia haya maneno.Msomi wa chuo kikuu huwezi kuyaandika hivi.Anyway au pengine ni lugha za kizazi kipya cha sasa ila ungeyaandika kiswahili tu kama kuna kiswahili chake.
Hata hivyo nimekugundua mambo mawili ya ziada.1.Una uungwana kiasi chake sababu usingekuwa mstarabu ungenijibu vibaya 2.Kingine una ucha MUNGU kiasi flani
Kama nimekukwaza nisamehe
 
Mkuu, shukrani kwa maoni yako. Na utambue tu kuwa, hukunikwaza maana nimejifunza kukubaliana katika utofauti wa mitazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…