Pole dada, mi sio mjuzi sana wa masuala haya ila nina swali moja naomba ujiulize na ujijibu kwenye nafsi yako. Do you think he is WORTH putting u at risk na magonjwa kama HIV, hepatitis nk? Will he be by your side ikitokea ukaumwa GOD FORBID na unahitaji support yake? Au ndo ataendelea kusepa atokomee huko? Sisemi kuwa kwa mfano mimi ambaye sijathibitisha nyendo za partner wangu kama ni nzuri au la am better off, la hasha... but at least wewe ushajua na una opportunity ya kujiokoa.
Angalau basi mtumie kinga... nijuavyo mimi its not any easier kwenda kupanga foleni ya kuchukua dawa kisa mume... hailipi