Nilipigwa na kufukuzwa Msibani

Kumbe ndo ww yule jamaa tulokushushiaga kipigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Yess bishoo hasWaaaa
 

Walikupendelea sana, ilibidi wewe ubakwe tu ili ushike adabu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana kwa kipigo ila nyama kitu kingine wapenda nyama pekee ndio tunaelewa

Ila mkuu post zako huwa zinanifurahisha sana
 
kufa nawe na wenzako wakale nyama😳 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…