Hahahahaaa Wala...! Ni story tu za kitaa Heaven on Earth
futa hii kauli kwanza niweze kuchangia mada,Uchangu ni kazi kama kazi nyingine
Uchangu ni kazi kama kazi nyingine japo hii hufanyika faraghani, changudoa hasikii utamu wowote anachojua yeye ni kuchojoa uchomeke umalize haja zako umlipe asepe, usijaribu kuleta ufundi wako wa kukata viuno wakati mwenzio yuko kikazi zaidi anachofanya yeye ni kuhesabu dakika zikitimia 5 hujamaliza hiyo ni juu yako na usishangae akikwambia braza nilipe changu nisepe ny.ege zako kamalizie kwa mkeo mimi niko kikazi zaidi au ukitaka ongeza pesa!
futa hii kauli kwanza niweze kuchangia mada,
point zimejikita kulingana na mazingira ya Tanganyika tu, otherwise niko tayari kusahihishwa.
- serikali haipati mapato kupitia uchangudoa, hivyo si kazi halali.
- uchangudoa hauna valid certificate, where is the profession given from? so hii si kazi halali, otherwise jukwaa la kazi lingejaa nafasi za kazi za uchangudoa.
- Machangudoa hawana haki mbele ya sheria, otherwise, prove mbele ya mahakama ya kadhi! utanyongwa uarabuni wewe! (mfano umetolewa hapo, mimi si muumini wa misikitini)
- angalia mazingira ya kazi inavyofanyika, its very shaming... ile nayo kazi kweli?
Mshana Jr umeamkaje mkuu!? Hivi ulikuwa umewekeza kule walikovunja last week nini?
Ni kazi kama kazi nyengine?
Kama hawasikii utamu mbona wengine wanaolewa na wanastaafu...
Una experience nao balaaaawakirudi hm nao wana wapenzi na husikia raha wakipendwa au maumivu wakitendwa na kuna wanaume wanajua kabisa kuwa wapenzi wao wanafanya kazi gani
Kwani huyo anabakwa?hakyanani kama wanasikia utamu hawa basi hata mdada anayebakwa pia husikia utamu.