Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,181
- 6,214
Makaburi yamebomoka mizizi imekatika,
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu,
Yakupasayo aman yalifichwa machoni pako,
Nyumba yako imefunikwa na ukiwa,
Ghasia na mifarakano haitakoma kwako,
Utatumia nguvu kurudisha enzi zako,
Hutaweza sababu mizizi imekatwa,
Dhambi yako imeandikwa kwa kalamu ya chuma na ncha ya almasi.
Haya yakitokea basi hili kwenye huu uzi yatakuwa yametimia
www.jamiiforums.com
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu,
Yakupasayo aman yalifichwa machoni pako,
Nyumba yako imefunikwa na ukiwa,
Ghasia na mifarakano haitakoma kwako,
Utatumia nguvu kurudisha enzi zako,
Hutaweza sababu mizizi imekatwa,
Dhambi yako imeandikwa kwa kalamu ya chuma na ncha ya almasi.
Haya yakitokea basi hili kwenye huu uzi yatakuwa yametimia
Tanzania Project 2035
TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP MISSION Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa...