Niliomba kazi Bank, halafu nimeitwa na hawa Kp recruiters au Kaparama recruiters ila Wanataka hela kabla ya Interview

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali.

Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika kwenye interview na non- refundable kama sita fika).
Kwa Financial Manager _Jina wame nipa na Namba yake ya simu ambapo pesa ina takiwa kutumwa.

Nikisha tuma hela ntatumiwa form itakayo kua na maelekezo kadha wa kadha.

Mwenye kuni ushauri wowote kwa anae wafahamu hawa jamaa..

Japo sipendi sana hizi kazi zaku anza kuombana hela hata kama ni ndogo.

Asanteni. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!
 
Kama niliwahi kusikia hio recruitment agency but hawapo professional from the beginning.. jiongeze mkuu wape hio 10,000 ukipata kheri kwako na ukikosa baraka kwao!
 
Wizi mtupu tangu lini ela ya kampuni ikatumwa kwenye namba binafsi ya mtu halafu hakuna stakabadhi.
Kimbia kabisa..
 
Kama niliwahi kusikia hio recruitment agency but hawapo professional from the beginning.. jiongeze mkuu wape hio 10,000 ukipata kheri kwako na ukikosa baraka kwao!

Mbaya zaidi sina kazi kwa sasa yani nachekecha akili inagoma. Ninge kua na mchongo ninge watupilia mbali...
 
Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali.

Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika kwenye interview na non- refundable kama sita fika).
Kwa Financial Manager _Jina wame nipa na Namba yake ya simu ambapo pesa ina takiwa kutumwa.

Nikisha tuma hela ntatumiwa form itakayo kua na maelekezo kadha wa kadha.

Mwenye kuni ushauri wowote kwa anae wafahamu hawa jamaa..

Japo sipendi sana hizi kazi zaku anza kuombana hela hata kama ni ndogo.

Asanteni. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!
Bora wametaka hela... Wwngine hiwa wanataka vingine hata uwe dume
 
hao matapeli.. sababu kampuni inasimama kama ni mtu .. so hata hela inatakiwa iwe na jina la kampuni na risiti juuu... sio hela ya kampuni itumwe namba ya juma
 
Mi nimewahi enda pale.. Nikaweka c.v zangu pale nkamwambia ntakuja tena.. Office yao ipo pale jirani na London rouge... Ila mimi sikuombwa pesa na nilisafiri sikufuatilia tena hvyo vitu
 
Duh! Noma mkuu, naambiwa nikisha tuma hela natumiwa form yaku jaza ambayo ina maelekezo kabla ya interview.
 
Back
Top Bottom