Akili wapi ni kamba tu anatupiga maana amesema alikuwa anataman kupata mtu wa kumuweka ndani kama ni hivyo unafikir akili na muda wa kuchunguza yote hayo angeipata wapiWachache wenye akili kama zako, hongera sana hakufukuza mke Ila kaenda kusalimia atarudi.
Mkuu imeshatokea hiyo jamaa kasema hana mke wala watoto wa kusingiziwa, bila kujua kumbe kaka ya mfanyakazi mwenzangu, kaniomba nimsimdikize akachukue mzigo kwa kaka yake tumefika kule kila akiingiza funguo inagoma kuchungulia kuna funguo ndani akagonga tukafunguliwa, wakasalimiana pale mgeni akasema amekuja ghafla amemstukiza mr. naangalia ukutani picha ya ndoa ya yule yule jamaa ambaye kajidai hana mke, na picha ya watoto wawili, tukachukua huo mzigo tukaondoka sikusema kitu, ilikuwa ujumaa, jumapili tumeonana anasisitiza ndoa wazazi wanamsumbua anataka aoe haraka, sikumficha nikamweleza yote niliyoyaona kwake, alichojibu kumbe sister alikuja na wewe, nikamwambia katunze familia yako, hakuna mke wala hawara na huoni ndani, ikawa mwisho, hivyo kama amedanganya au kweli Mimi nimeamini.Akili wapi ni kamba tu anatupiga maana amesema alikuwa anataman kupata mtu wa kumuweka ndani kama ni hivyo unafikir akili na muda wa kuchunguza yote hayo angeipata wapi
Ni case chache sana inatokea mkuu ila ck hizi dada zetu wamekosa ubunifu wamekuwa na tamaa sana kwa hiyo uwezo wao wa kufikir kwa upana umepunguaMkuu imeshatokea hiyo jamaa kasema hana mke wala watoto wa kusingiziwa, bila kujua kumbe kaka ya mfanyakazi mwenzangu, kaniomba nimsimdikize akachukue mzigo kwa kaka yake tumefika kule kila akiingiza funguo inagoma kuchungulia kuna funguo ndani akagonga tukafunguliwa, wakasalimiana pale mgeni akasema amekuja ghafla amemstukiza mr. naangalia ukutani picha ya ndoa ya yule yule jamaa ambaye kajidai hana mke, na picha ya watoto wawili, tukachukua huo mzigo tukaondoka sikusema kitu, ilikuwa ujumaa, jumapili tumeonana anasisitiza ndoa wazazi wanamsumbua anataka aoe haraka, sikumficha nikamweleza yote niliyoyaona kwake, alichojibu kumbe sister alikuja na wewe, nikamwambia katunze familia yako, hakuna mke wala hawara na huoni ndani, ikawa mwisho, hivyo kama amedanganya au kweli Mimi nimeamini.
hakuna mahali alipoandika alimruhusu kuingia chumbani, au unafikiri kila mtu anaishi single room?ni mwanaume gani ambaye anajua ananguo za MKE/MWANAMKE ndani alafu akuruhusu tu uje chumbani kwake bila kuzitoa????
Mkapa sijui ingekuwaje kwakweli...Duu Poleee...Ila, Akili Sio Nywele!!
aitoe wapi muandiko wake mwenyewe unaonekana wa kikubuhu!!Hongera yako but mbona huwajibu wadau ..?
"Wanauliza Bikira bado ipo??? "