Nilini watanzania waleo watakua wazalendo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilini watanzania waleo watakua wazalendo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inspireguy, Dec 2, 2011.

 1. I

  Inspireguy New Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama watanzania waleo niwazalendo!
  Uzalendo kwetu nimsamiati mgumu sana kamusi zote sidhani kama zaweza kutoa tafsiri ya uzalendo wa watanzania.Naomba nitoe mifano kuntu mitano halafu ndugu zangu mniambie uzalendo wa mtanzania waleo uko wapi?alipofariki Lucky dube Media za kibongo zilitangaza kwa sana na kupiga nyimbo zake kwa wingi tukafurahi kupata burudani,akafariki Michael Jackson kila gazeti utakalosoma ni yeye,ukisikiliza ledio ni nyimbo zake tv nazo hazikua nyuma,akawa maarufu zaidi ya alivyokua hai.
  Tukafurahi kwani ulimwengu ushakua kama kijiji,vilifunuliwa hata vile ambavyo havkujulikana kabla.
  Tunoangalia ni uzalendo.
  Michuano ya Chalenge imeanza,zanzibar stars ilipocheza hakuna hamasa yoyote iliyotolewa na mashabiki wa zanzibar wala tz bara kwanini?huo ni uzalendo?Ikacheza kilimanjaro stars hakuna mtu alie kua akishangilia kuwafanya wachezaji wawe na hamasa ilipofungwa tukachukia,ilipo cheza na D'j tukawa 2nazomea walipofunga tukasahau yote,wakipiga chenga ndo tunarukaruka,wamalawi mliwaona walivyokua na uzalendo niwachache lakini kazi yao mliiyona kwa timu yao ilipokua ikicheza.
  Kafariki Mr.EBBO,hakuna media ya kibongo iliyo piga nyimbo zake kamailivyokua kwa Lucky na Michael huo ndo uzalendo?
  Watu wana LIKE kwenye stutas ya kifo chake.Hizo ni akili au matope?
  Lini watanzania watakua wazalendo?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Code:
  Watu wana LIKE kwenye stutas ya kifo chake.Hizo ni akili au matope?
  Lini watanzania watakua wazalendo? 
  Ku-LIKE haina maana kuwa wamefurahishwa na kifo chake...ni kutambua tukio hilo..changanya na zako!
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  punguza jazba uzalendo ni neno pana sana
  mfano mdogo jiulize ulishawahi kununua cd origino za wasanii wa bongo??
  kama sio kuishia kuban na kununua feki!

  RIP MOTIKA
   
 4. b

  buswe Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  uzalendo utakuja wenyewe pindi watawala watakapo acha kuwafanyia uhuni watawaliwa
   
Loading...