Nilimwona Mbongo anakuja na.....

Hapo nahisi M bongo atakula risasi bila hata kuulizwa kitu,
 

mkuu umejitahidi kutumia tafsida kwa kuwa original version ya hayati Prof. Seith Chachage kwenye kitabu chake cha Makuwadi wa soko huria hakutumia kumeza kama wewe. Bravo for editing
 
hahahahahahahaha
tehtehtehtehtehteh
kwikwikwikwikwikwi
a e i o u
abcdefghijklmnopqrstuvwxyz
ma me mi mi mu
ta te ti to tu.
 
Du umetisha maana nimecheka mpaka machozi.
 
ha ha ha ha kuna mtu alikuwa amenichukiza yaani hasira zote zimeisha dah
 
Alipofika mbongo yale matikiti yakaonekana yamepasuka kumbe ndani kuna unga walipo mhoji kumbe alikuwa ni r i z o n e, ikabidi babayake aitwe, muafaka uka wekwa TZA ikawekwa rehani. r i z o n e akaachiwa huru. wabongo tunatisha kwa ujanja
hivi unamsema rais wetu namna hivi wewe kweli una maadili,baba yako unaweza kumsema namna hii.thats not a joke
 
Ngaseka sana sana, ng'achihiyo. Nimefurahi na kucheka kiluga.
 
DAAAAA wabongo kwa sifa sijui alidhani wanataka wao wale....
 
Wabongo hawashindwi kuja hata na fenesi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wachina walishindwa kufanya lolote......ilibidi wa mwambie we rudi tuu home tz kariakoo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…