Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Sasa si ungemwambia unamtongoza kiutani.
Unafikiri angejuaje unatania ili asikugande.
 
!
!
Imenitokea juzi,jumamosi. Nilimtongoza kifuani tu aisee nikiwa bwax akachomoa ila nilifanikiwa kuchukua namba na yeye nikampa yangu. Asubuhi nikapata text, huku na kule Jioni kiutaniutani kaniganda aisee nikampuliza. Mama yangu najuta kumfahamu. Khaaaa kaniganda
 
MREJESHOOOOOO

asanteni kwa mawazo yenu, ushauri wenu nimefanikiwa kumove on ingawa haikuwa rahisi ivyo ila am good........FREESOUL
 
Muache ajiue sijawahi sikia mtu amefungwa sababu mtu mwingine amejiua 7bu yako
 
ndo hvo ss kiutan utan...oa ss....tatzo nyie maplayer mnatufanya na cc magentle tuonekane wote wale wale tu
 
Mi sina cha kukushauri maana Leo sipo ktk Hali nzuri nimechafukwa vibaya mno.
 
Utani utani wakati ulikomaa kabisa alipoonesha kuchomoa na bado uka-mbato juu, ushahidi wa UTANI ni nini hapo sasa? Acha ubashite ubaya wa duniani hulipwa duniani hapa hapa, cheza tu na hisia za watu. Kama ni mgegedo tu si utafute madanguro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…