kazi unayo hapo..Asante
Dahhh Mungu akusamehe maana ulivoongea kama unaweza kuumba ata nzimara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki
Dahhh Mungu akusamehe maana ulivoongea kama unaweza kuumba ata nzi
Kabisaa MaseMuwe mnafatilia historical background za mnaowatamani,wengine wana mafaili mirembe. Maana huo ni ukichaa
Yaani toka niingie humu nimejifunza mengi Na ile kasumba yakuwachukia kumbe siku kosea nipo sawaKesho atakwambia ana mimba yako..mtoroke huyo lasivyo atakuaibisha
Ni ujinga wako..hujiamini kabisa yaani watishika na kauli zakeNilimtongoza kiutani uyu Dada, mara ya kwanza alikuwa mgum mgum mara akatiki mchiz nkabutua kushusha mzuka, sa tatizo mtt wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mme wake eti nauku mi nlimtamani afu ananitishia nkimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa adi stress kwa sasa..
Ilo umbo mungu kampa kaka yangu usimkosoe binadamu wakati utazaa utakuwa Na wajukuu mungu hajalibiwi
Playboy huyo..kashakinahi na alichokitaka sasa anataka kusepaYaani toka niingie humu nimejifunza mengi Na ile kasumba yakuwachukia kumbe siku kosea nipo sawa