Nilimtongoza akanikatalia, karudi tena

Yule aliyekuwa anampenda na kumzuzua kamtema,karudi kwako....piga chini.
 
Unategemea alikataa Vp Mara ya kwanza, kama alisema wewe Sio type yake kwa mfano achana nae, atakua Gold digger. Kama alisema ana mtu au msubiri akuchunguze jaribu atakua amemwagwa au kamwaga alikotoka.
 
ukishakuwa na wasi wasi usiende huko! utakuja kusema bora nisingemtongoza tena.
nenda sehem ambayo moyo wako unakuwa mweupee
 
Kwan kwa sasa financial statement yako inasomekaje?
 
Unataka tukushauri kama umtongoze tena? Au kama ana kupenda?

Mwambie umeokoka sikuizi
 
mkuu ulikosea, siku izi awatongozwe hao, ukimtongoza tena atakukataa tu, wewe nenda nae taratibu utajikuta umefaidi tu
 
usimtongoze muite geto akiibuka mshike shike akilegea mle mate akikuacha mtie kidole puani mengine endelea taratibu ila ukimwambia tena atakukataa utaumia...
 
Ucmtongoze tena bhana now Fanya michakato ya kumgegeda juu kwa juu then umpige chin asikuzoee
 
Ningekuwa mie, namwambia sawa, then yeye anitongoze mpaka nikubali akishindwa ndo basi tena, halaf miaka 4 mingi bado ana mvuto ??
 
Mtafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…