Nilimsaidia dada mmoja Arusha asibakwe

Nilimsaidia dada mmoja Arusha asibakwe

Naungana na wajumbe wanaohisi stori bado inaendelea… Hadi leo anakushukuru kwa vp??
 
Nikajua uliruka makomfuu ya kihindi kama akshey... unajua wewe ni wakiume kuwa makini na hizo 'basi bwana' halafu usipende kuwashwawashwa kusimulia kila tukio hzo ni tabia za kike.
Mbona hasira, au wewe ndo miongoni mwa wale vijana waliotaka kumbaka?
 
Hao machalii itakuwa hawakuwa na kipururu sana,mbona wangemla mbele yako na huwafanyi kitu yoyote.
 
Nikajua uliruka makomfuu ya kihindi kama akshey... unajua wewe ni wakiume kuwa makini na hizo 'basi bwana' halafu usipende kuwashwawashwa kusimulia kila tukio hzo ni tabia za kike.
itakuwa ndiyo tabiya zako izo mambo povu la nini sasa ungesoma ungepita ivi safi mbona
 
Back
Top Bottom