Nilimpenda lakini namuacha

Nimekuwa nikimuelekeza kwa upole ila anaonekana Ana kiburi
Mueleweshe taratibu, nilishakua na pisi ya hivyo nikamuelekeza na akabadilika.

Tafuta muda umwambie face to face kwenye sms hawezi kukuelewa kirahisi.

Wanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vizazi vya dotcom wanaona taabu kuandika s wanatumia X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…