Nilimpa mimba binti mdogo kumkomoa mke wangu

Nilimpa mimba binti mdogo kumkomoa mke wangu

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,825
Reaction score
16,903
Duh leo mida ya saa 5 asubuhi nikasema nimeenda dukani kwa mangi ndo anatoka kanisani akasema umejuaje saaa kama nimefika nikamwambia nimehis tu.ki ukweli tangu nimehamia hapa ndo duka la kwanza kuanza kununua vitu nimcheshi alafu si unajuaga ile ya kuchukua chupa alafu unarundika siku nazirudisha zote.....so haniulizi wala nini mpaka nizikusanye baada ya wiki kadhaa.

ila si kwangu tu huyu majirani nawaona wote wanapapenda sana hapo dukani
to make story short mangi ni mtu mwenye roho nzuri sana lakini cha ajabu ana miaka kama 45 hivi (nilimuuliza) ila ajaoa
sasa leo nikaanzia hapo hapo alivyosema umejuaje ndo natoka kanisani ukaja
Mimi: (kwa utani) mangi unajua ungekua umeoa mke wako angeenda misa ya saa 12 alafu wewe ya saa 4 ili msifunge duka. .
huwaga namtaniaga sana oa mangi mkeo akufulie ....duuuh leo kanitolea uvivu
mangi: nina watoto wakubwa tu mmoja ana miaka 19 sasa hovi mwgine 14,nilioa na nilikua nampenda mke wangu nikaja nae dar nikampa mtaji wa vitenge awe anapeleka moshi akakutana na wenye nazo mimi akanioana sifai akaenda ukweni akasema sisimamishi.kimepanda kimeshuka sijui uwezo umeshuka kiukweli ilikua tu ni jinsi ya kuniacha
nilichofanya nilikamata mtoto mkaliii nikampiga msasa nikampangishia karibu na kwangu ila alikua mdogo kama BINTI yangu na mkali sana.....nilichofanya nilimpa MIMBA faster ilikuwaprove wrong alafu mke wangu hakuwa na habari nikaenda nae moshi ili amuone nikafunga ndoa ya mila.nikamuacha huko huko ili amuone kwanza..
Ila baadae nilingundua simpendi so alvyojifungua nikamuacha huko huko na baadae alijua simpendi kwa dhati so aliniacha ila mpaka navyoongea sina hamu na mke
Maana nikifikiria nilipomtoa yule mwanamke nahisi hakuna mapenzi ya dhati na isitoshe moyo umekufa ganzi,usinione nina furaha hivi ila nina mengi moyoni.
Mimi:mangi tuishie hapo na pole sana

KI UKWELI NILIPATA MASWALI MENGI SANA
 
Huenda akaelekeza nguvu kwako akakuoa eti masai dada!
 
Viol njoo uone nguvu ya pesa hapa, inavyofanya mwanamke azalishe visingizio, pesa! Pesa isikie kwa jirani.
Big up Mangi.
^^
 
Last edited by a moderator:
nikampiga mimba halafu nikampeleka moshi nikamuacha. Aggrrrrrrrrrr hapo pameniboajee *&%$$#@©®
 
Hahahaha angalia Masai Dada... Asije akauhamishia majeshi kwako...


Mapenzi ni complicated displin
 
Naona kama we ndo unamuwinda mangi akupe yake, sababu alivokuchana ivo umepagawa kwa maswali mengi ndani ya ndonga lako. Haah hah
 
Viol njoo uone nguvu ya pesa hapa, inavyofanya mwanamke azalishe visingizio, pesa! Pesa isikie kwa jirani.
Big up Mangi.
^^

hhhahahhahahahaha hapana bwana yaani ungemuona usingesema hivi hahhahh
 
Last edited by a moderator:
nikampiga mimba halafu nikampeleka moshi nikamuacha. Aggrrrrrrrrrr hapo pameniboajee *&%$$#@©®

alifanya hivyo ili mkewe amuone yule binti na huyo binti hakumpenda kabisa kulingana na maelezo yake

hahahahahhah mangi ni mcheshi sana na ana roho nzuri ila anapenda duka lake kuliko chochote sasa imahne katoka kanisani tu kaende kufungua duka
 
Masai dada inawezekana akakufaa unakumbuka umetoka kutendwa juzi.
 
Masai dada inawezekana akakufaa unakumbuka umetoka kutendwa juzi.

hahaahha aiseee pamoja na hayo hapana kwa mangi mkubwa sana alafu duuuub hahahahaahahhaha hapana
 
Naona kama we ndo unamuwinda mangi akupe yake, sababu alivokuchana ivo umepagawa kwa maswali mengi ndani ya ndonga lako. Haah hah

hahahahahah NI KWAMBA MASWALI NILIYONAYO NI HIVI
1.hivi unaeza yapitia yote hayo alafu ukawa na raha hivyo???
2.kumbe unaweza ukawa mzuri lakini usiwe na bahati (binyi aliyepigw mimba)
3.kumbe kutendwa ku aweza kukufanya uishi bila mpenzi maisha yako yote

and so on amd so on
 
hhhahahhahahahaha hapana bwana yaani ungemuona usingesema hivi hahhahh

Nimepita huko najua anacheka kwa huzuni.. Nampongeza bado! Ukitanguliza pesa, ujue hufai hata mbele za Mola
^^
 
masai dada mthibitishie mangi kua mapenzi ya dhati YAPO, anza hiyo kazi mpaka akuelewe, fanya kwa vitendo
 
Last edited by a moderator:
Viol njoo uone nguvu ya pesa hapa, inavyofanya mwanamke azalishe visingizio, pesa! Pesa isikie kwa jirani.
Big up Mangi.
^^
Himidini wenye hela wanatumia mapenzi vibaya,wataumia sana mpaka kujiua ila sisi wa kawaida tunamiliki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom