Gazeti lilikufa baada ya mmiliki wake naye kufa. R.I.P Munga Tehenan. Hili ni moja ya gazeti lililoniongezea kujiamini na kufanya mambo yangu kwa uhakika.
Tafuta kitabu alichoandika marehemu Munga Tehenan kinachokwenda kwa jina la NAMNA YA KUPATA BAHATI, PESA NA MAFANIKIO. Hutajuta.