Jamani huyo mwanaume wako si mzima inawezekana kati ya wale wanne yeye ndio mmoja wapo.Haiingii akilini mtu ufumaniwe halafu wewe tena utake kuua.
Ila na wamama sisi tuna tabia mbaya sana sasa huyo mama mwenye nyumba anabariki kabisa mwanae kubanduliwa humo humo ndani ilihali anajua mkaka ana mchumba mbali na hilo yeye ndio anakuwa mlinzi wao aiseeee kweli ni shidaaa
Pole na shughuli za siku wakuu.
Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa.
Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili,
japo bado hakikuwa kimefanyika chochote ktk kuhalalisha mahusiano yetu.
Mwezi uliopita nilikwenda nyumbani kwa mchumba wangu bila kumtaarifu, nilikuta mlango umerudishiwa tu, nikataka kuingia mama mwenye nyumba akanifanyia ishara ya kuniita kwa mkono nikaenda kumsikiliza.
Alichoniambia et nirudi nyumban nisiingie kwani mpenz wangu hajisikii vizuri na ameagiza mtu yoyote akija asiingie.
Nikatafakari nikaona kama mtu hajisikii vizuri kwann nisijue shida yake.
Nikamuitia yule mama na kumshukuru kwa taarifa lkn nikaingia ndan, kweli sebuleni hapakuwa na mtu.
Nikasukuma mlango wa chumbani nakuingia. Sikuamini macho yangu nilichokiona....inauma sana ..nilimkuta mpnz wangu akifanya mapenzi na binti wa mama mwenye nyumba wake.
Niliona hakuna haja ya kugombana kwakuwa hakuwa mume wangu..nilichomwambia aendelee na huyo mm basi tena.
Siku iliyofuata alikuja home alipogonga geti nilichungulia nilipotambua kuwa niyeye nilimuuliza anasemaje.
Alinijibu kwa dharau kwamba amekuja kunipa taarifa kuwa yule niliyemkuta nae ndiye chaguo lake mm sina hadhi ya kuwa nae..sikuwa na maneno mengi nilimjibu kifupi Asante kisha nikafunga geti nakurudi ndani.
Nilipata uchungu sana nililia hata kesho yake sikuweza kwenda kazin..
Nikaamua kumtoa moyoni na kwakweli nilimtoa kbsa..nilichukua zawad zote alizonipa nikamtuma mdada wa kazi ampelekee. Nikajua ndo mwisho wa mawasiliano ..
Baada ya WK kupita akajirudisha nimekataa na simtaki sasa anatishia kuniua..nimeripoti polisi na nimepewa rb.
Je hapo mm Nina makosa?
Yaani nilimdharau sanaJamani huyo mwanaume wako si mzima inawezekana kati ya wale wanne yeye ndio mmoja wapo.Haiingii akilini mtu ufumaniwe halafu wewe tena utake kuua.
Ila na wamama sisi tuna tabia mbaya sana sasa huyo mama mwenye nyumba anabariki kabisa mwanae kubanduliwa humo humo ndani ilihali anajua mkaka ana mchumba mbali na hilo yeye ndio anakuwa mlinzi wao aiseeee kweli ni shidaaa
Pole sana dada yangu haya ni mapito na yataisha.Pole na shughuli za siku wakuu.
Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa.
Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili,
japo bado hakikuwa kimefanyika chochote ktk kuhalalisha mahusiano yetu.
Mwezi uliopita nilikwenda nyumbani kwa mchumba wangu bila kumtaarifu, nilikuta mlango umerudishiwa tu, nikataka kuingia mama mwenye nyumba akanifanyia ishara ya kuniita kwa mkono nikaenda kumsikiliza.
Alichoniambia et nirudi nyumban nisiingie kwani mpenz wangu hajisikii vizuri na ameagiza mtu yoyote akija asiingie.
Nikatafakari nikaona kama mtu hajisikii vizuri kwann nisijue shida yake.
Nikamuitia yule mama na kumshukuru kwa taarifa lkn nikaingia ndan, kweli sebuleni hapakuwa na mtu.
Nikasukuma mlango wa chumbani nakuingia. Sikuamini macho yangu nilichokiona....inauma sana ..nilimkuta mpnz wangu akifanya mapenzi na binti wa mama mwenye nyumba wake.
Niliona hakuna haja ya kugombana kwakuwa hakuwa mume wangu..nilichomwambia aendelee na huyo mm basi tena.
Siku iliyofuata alikuja home alipogonga geti nilichungulia nilipotambua kuwa niyeye nilimuuliza anasemaje.
Alinijibu kwa dharau kwamba amekuja kunipa taarifa kuwa yule niliyemkuta nae ndiye chaguo lake mm sina hadhi ya kuwa nae..sikuwa na maneno mengi nilimjibu kifupi Asante kisha nikafunga geti nakurudi ndani.
Nilipata uchungu sana nililia hata kesho yake sikuweza kwenda kazin..
Nikaamua kumtoa moyoni na kwakweli nilimtoa kbsa..nilichukua zawad zote alizonipa nikamtuma mdada wa kazi ampelekee. Nikajua ndo mwisho wa mawasiliano ..
Baada ya WK kupita akajirudisha nimekataa na simtaki sasa anatishia kuniua..nimeripoti polisi na nimepewa rb.
Je hapo mm Nina makosa?
Asante mkuu kwa ushauri wakoPole sana dada yangu haya ni mapito na yataisha.
Watu wengi huwa hawatambui thamani ya kupendwa ndiyo maana wanapopendwa huchukulia kawaida sana mpaka pale yule aliyempenda atakapoondoka.
Hakika huyu hakupendi, mm nilitegemea hata angekuomba msamaha na kujuta kwa kile alichokifanya ila akazidi kukuumiza.
Huyu ukimrudiana atakutesa sana na inavyoonekana ni tabia yake. Mwache aende mpendwa sabb wapo wenye upendo na wanaojua kujali.
Kumbuka kuna mwenzio humu alikuwa anapigwa lkn akawa anajipa moyo ipo siku atabadilika lkn kilichompata kinasikitisha sana.
Mwache aende zake na makengele yake