Nilimfumania dingi akiwa anamgegeda mchepuko

🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani nilisikia mgegedo nikaamua kabla ya kufika sebuleni full niangushe glass nione reaction.
Na ilibidi nitokee nakuta wazinzi wanakurupukia viwalo
Wewe nawe ni Mpenda shari tu.

Kwa nini usirudi zako room Mdingi amalize ishu yake kwa amani.
 
Mkuu unajua ishu hz zinauma sana,niliumia ila nikatumia fursa kumpiga dingi mzinga maana kumwambia bi mkubwa anasumbuliwa presha sana
 
[emoji91] [emoji92]

Daisy Sultan.............salamu kwako....................naomba nikupe ushauri,wala hukutakiwa kuleta uzi.......................siku zote tuna ashwa na vitabu vitakatifu kuwa kuwa tuwaheshimu wazazi wetu tupate kheri na maisha marefu duniani..........................utoke wapi wewe mtoto kumfumania baba yako..............................alafu unasema mchepuko,kumbuka kuwa anaweza kuwa mama yako..................................jamani tuwe na mipaka ya kuandika.hata kama kweli umemfumania sasa unaleta huku ili iweje........................................kumbuka kuna siku na wewe utakuwa Baba,............................................................je baba yako akijua kuwa umeleta humu hayo mambo yake je atafurahi?.......................................je kwa kuleta huku hayo mambo yake je umefaidika na nini?.....................................ujue kuna leo na kesho..........................................wangapi wameona uzi huu?.............................................huyo mama yako naye je ameona?.......................................................................je wewe ukiwa baba au mama kesho, alafu mtoto wako alete uzi kuhusu wewe je utafurahishwa na kitendo hicho...................................................................ndugu yangu,fanya toba na umuombe Mwenyezi Mungu akusamehe na usurudie tena .............................................................maana unajitafuatia laana,hata kama baba yako amekosea.............................................................................Pole sana ndugu..................................................................

Binafsi umenikwaza sana,labda ni utoto bado unakusumbua,............................ila utakuja kujuta...................

Nimekwazika sana,

Mwenzetu
 
Lakini ni dhambi pia aliyofanya
 
Huoni aibu Kuja kumzalilisha babako, hata ka ni fake I'd. Si kila nyuzi lazima uanzishe. Next time use ur common sense very well.
 
na siku akimuona mama yake anabinjuliwa na mchepuko, aje atueleze

Back
Top Bottom