Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security protocals na kuacha UWAZI ambayo watu waovu wanautumia kufanya Matukio mabaya.
Ila NIKAPUUZWA!!.
UTEKAJI UNAOFANYWA NA JESHI LA POLISI UKIDAIWA KUONGOZWA NA MAFWELE , unaathiri vipi mfumo wa Usalama wa NCHI??.
👉Ndani ya Polisi wenyewe wameshakua na Imani hiyo kuwa UTEKAJI WOTE UNAONGOZWA NA MAFWELE , NA MAFWELE NI UNTOUCHABLE .
👉Jamii imeamini Utekaji wenyewe UNAOFANYWA NA JESHI LA POLISI.
Sasa tuwe na Scenario hii, Mtu mmoja ajulikanaye X mfanyabiashara maarufu mahali Fulani, ametekwa na wasojulikana, siku chache zijazo amekutwa amekufa ...
IPO hivi , huenda Siku aliyotekwa, Watu walishuhudia , wapo waliosema AMETEKWA TAYARI NA POLISI ( kwa sababu tu MAFWELE na POLISI wanaoteka watu hivo hivo kwa mbinu hiyo hiyo hadharani ).HIVO WAKAPUUZA KUREPOTI POLISI KWAKUA WANAJUA HAMNA KITAKACHOFAMYWA.
Wapo waliosema ,inawezakana ni wafanya Biashara wenzake au ni MAJAMBAZI au ni mapolisi kweli, ILA WAKAAMUA KWENDA KUREPOTI POLISI.
Wanafika KITUO CHA POLISI X na kutoa taarifa ya ndugu yao kutekwa, POLISI HAWA WA NGAZI ZA CHINI WENYE ELIMU YA DARASA LA SABA, WALOCHOMEKWA KAZIN KWA RUSHWA NA JANJA JANJA , HAWA VICHWAN WANAAMINI👉UTEKAJI WOWOTE UNAFANYWA NA POLISI CHINI YA MAFWELE THE UNTOUCHABLE"
👉POLISI HAWA PIA WANAAMINI, MTU AKITEKWA UJUE ANA UGONV NA SERIKALI KWAHIYO SERIKALI NDIO INAMSHUGHULIKIA.
Mwishooooo Polisi Hawa wa chini, hamna lolote watakalolifanya kwa kua Imani zao zimeelekeza kua UTEKAJI uko chini ya MAFWELE.
Moja kwa Moja, Polisi kitengo cha Intelligence ( japo hawana hiyo intelligence) kinalala fofofooooooo.
Baada ya siku kadhaa taarifa habari MWILI WA MFANYABIASHARA UMEOKOTWA PEMBEZONI MWA BARABARA.
Baadae kwenye uchungúzi ndio inajulikana MFANYABIASHARA AKITEKWA NA KUUWA NA WATU WALIOTUMWA NA MFANYABIASHARA MWENZAKE WALOTAPELIANA KWENYE BIASHARA !!.
Kumbe Polisi na Mafwele wangeacha Utekaji na wakaanza kukamata kwa Mujibu wa PGO na Sheria za NCHI, Hamna Mtu wa Genge ambalo LINGEIBA MBINU ZA AKINA MAFWELE kwahiyo INGEKUA RAHISI KUTOFAUTISHA MAFWELE NA MAGENGE .
Katika Scenario hiii, maana yake Polisi wa chini wasingeogopa kuchukua Hatua, wangeanza kufatilia huku wakishirikiana na Ma afsa wao wa juuu, na hatimaye Ingefupisha muda na hata ingewatua wasiwasi watekaji ,na pengine WASINGEUA, BALI WANGEMPIGA KUJERUHI NA KUMTUPA !!!.
MWISHO :
MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI, NI TUKIO YANAYOTUKUMBUSHA JUU YA BEN SAA NANE, SATIVA, MZEE KIBAO, MDUDE, MH POLEPOLE N.K ,
MATUKIO HAYA NI YANAFANYWA NA MAFWELE NA JESHI LA POLISI .
NI ASILIMIA 1 TU YA MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI YANAFANYWA NA MAGENGE .
Kwa kuthibitisha hili, ndio sàbabu mnaona, HAIJAWAH KUWEPO JUHUDI ZA JESHI LA POLISI KUJITENGANISHA NA MATUKIO HAYA .
Ukweli ni kua, KUNA MAJAMBAZI ,MATAPELI NA MABAZAZ NDANI YA JESHI LA POLISI yanayoendesha Matukio ya kihalifu, ikiwemo KUUA WATU ,KUTEKA NA KUWAUA ILI WAWATAPELI /KUIBA MALI ZAO ,PESA, DHAHABU, MAJUMBA, PESA ZA BENKI N.K.
Asitokee Polisi kunibishia hapa, Wakati kule Mtwara Mfabiashara wa DHAHABU aliuliwa na JESHI LA POLISI kisha wakamwibia Pesa na DHAHABU.
Tikishaikomboa hii NCHI, tutafuta JESHI lote la POLISI , na Wahusika wa uhalifu ndani ya JESHI WATAFILISIWA, WATAFUNGWA .