Nililala na fisi

Hizi hadith huwa zinasimliwa kweli ni kama ile ya popobawa. haahahaaaa
 
Safi sana, watu wanakula mpaka kuku sembuse fisi.
 
S wanga yaani .tupa uchawi wako wote ndo uingie kule. uliendaje nao bana? Pole lakini.
 
Mkuu Zoy inawezekana una kafisi (Zoy Jr) uko Katavi. Kuanzia Leo Fisi wa kike wote ni shemeji zangu kwa heshima ya mkuu Zoy. :smokin:
 
Hizi hadith huwa zinasimliwa kweli ni kama ile ya popobawa. haahahaaaa

We wasema ila hiko kitu kimenitokea. Popobawa yupo angalia ndugu kauli zako. Nitamtuma aje kukufanyizia!
 
Mkuu Zoy inawezekana una kafisi (Zoy Jr) uko Katavi. Kuanzia Leo Fisi wa kike wote ni shemeji zangu kwa heshima ya mkuu Zoy. :smokin:

Ok thanks for it bro.
 
Ukome kuvamia miji ya watu.
 
Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wanyama!ukija kwetu mbwa jike wote nawafungia...fisi tu umelabua hivyo..mbwa si utaoa kabisa wewe!!!!?
 
We wasema ila hiko kitu kimenitokea. Popobawa yupo angalia ndugu kauli zako. Nitamtuma aje kukufanyizia!
Mtume aje unadhani mimi nikama wewe wa kuamini hadith hapo zamani fisi alilala na mtu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…