Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,022
upo nje ya mada kabisa.Yaite mapovu ila Mkuu Daudi Mchambuzi ungetumia uwezo wako wa kuchambua kwa upande wa pili maana kuna hombwe la uongozi. Viongozi wanahama, mnadai wananunuliwa. Ruzuku inaliwa mnajifanya hamjui. Viongozi wanatema chuki, mnadai ndiyo demokrasia ya kukosoa. Kweli "Nyani hajui kundule!"
Majuu husema "charity begins at home" siye tuna msemo "Toa boriti jichoni kwako ..." au "Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe". Mnaandika mengi ya chuki na kejeli lakini kumbe hamjui upande wenu watu wanatembea uchi. Wafunikeni.
Punguza jazba.