britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?Funguka kama unaninia yakufunguka....
Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?Funguka kama unaninia yakufunguka....
Jiwe haamini mtu kutokana na matendo yake!Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Wanabangua KoroshoMkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Kwani Guam kuna korosho?Wanabangua Korosho
Nani kasema kwamba ni Tz?...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Kumbe ni kawaida sana?Ajabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80