Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
 
Jiwe haamini mtu kutokana na matendo yake!
 
Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?

Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom