Mr salim?Aisee,hyo inafahamika kuwa wajeda wa Mr Slim wanamlinda Jiwe.
NAHISIKwani Guam kuna korosho?
Kwamba Guam ni rahaUna maanisha nini vile?
Kumbe nimekupataNAHISI
Maana napo kuna vita yakiuchumi...
Wafanyabiashara sio watu wazuri. ...wakishirikiana na wanasiasa wahujumu uchumi wenye mizizi hadi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama dawa yao nikukata milija ya Ikulu tu.
Wanamlinda ndugu yao kwani wanajua kuwa mfalme j sio raia wa Guam bali ni mzaliwa wa kale kanchi kanakomlindaNimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Mkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?
Kisa Mmyamulenge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Swafi sana walahiUWONGO MTUPU WALAHI
Hata akilindwa kwani imeleta shida gani?? Kwamba watapewa siri za nchi..?? Siye tunajuaje kama kagame halindwi na wa huku pia..au museveni au kenyata..?? Mbona prof lipumba alikuwa mshauri wa masuala ya kiuchumi wa museven..vitu vingine ni kukosa hoja..zitto na lissu wanajua hilo?washtue kama hawajui ili wapost...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Huwa nakumbuka siku ile ulivyompiga swali mkulu pale magogoni akaishia kusema mayala kwa kikwetu ni njaa.Hivi ulipata wapi ujasir ule?Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Endelea kujiongopea, mimi nitakuletea hadi majina yao na kambi waliyotoka huko wapi siujui mnaita!!...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama