Nilikuwa siamini kama mtu anaweza park gari kwa kukosa mafuta, yamenikuta!

Hahah tulia mzee 1Nz unazungumzia 1490 ujue...ile ilikuwa 2sz 1290

Hii ya sasa ni 2az
Hahahaha daaah hapo mzee ligi barabarani inabidi uwe mpole mpole sana...haswa ya masafa marefu..Altezza ,Brevis, Crown zikiomba site tu unakua mpole...afadhali hapo 2AZ unaweza taka ligi ila hata hapo 2AZ wese si la maana linaenda
 
4 cylinder mzee baba...
Ila sometimes nakuwaga na Uzj kitu cha 4600cc cylinder ngap hapo......jaza mwenyewe nadhan ushajua ni gar gan...na vile hamnaga bas ni kupangua gears tu mpaka ziishe
 
4 cylinder mzee baba...
Ila sometimes nakuwaga na Uzj kitu cha 4600cc cylinder ngap hapo......jaza mwenyewe nadhan ushajua ni gar gan...na vile hamnaga bas ni kupangua gears tu mpaka ziishe
Bila shaka hilo ni Landcruiser V8 kama hadi humo unasukuma ni hatari nadhani hakuna kuweka 15,000 humo ni mwendo wa kuanzia 100,000 na kuendelea
 
Bila shaka hilo ni Landcruiser V8 kama hadi humo unasukuma ni hatari nadhani hakuna kuweka 15,000 humo ni mwendo wa kuanzia 100,000 na kuendelea
V8 hata 30,000 unaweka in case of emergency inakufikisha kule uendako
 
kweli kabisa mkuu.
Yani ule mshale unashawishi sana.
Kuna siku nilikuwa na full tank toyota runx hiyo.
Nilenda mjini na familia km 15 kununua mahitaji ya home.
Baada ya kurudi home wife akaniambia tumesahau katoni ya chumvi.
Nikamwambia shusheni mizigo naenda kuchukua.
Wakati duka la jirani kwa chumvi tu ni bei sawa na huko town.
hahaha ndio anasa zenyewe hizo sasa, hivi kwanza hamchokagi kukaa nyuma ya usukani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom