Nilikuwa siamini kama mtu anaweza park gari kwa kukosa mafuta, yamenikuta!

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Messages
382
Points
1,000

hiden

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2015
382 1,000
Kabla sijanunua gari, nilisikia mtu kapark gari ndani kwa kukosa hela ya mafuta na kuamua kutumia usafiri wa umma.

Tena nilishangaa mchizi mmoja jirani kapark Vitz akidai hana pesa ya wesee.

Nilikuwa nashangaa kama unaweza nunua gari ya 12 million unakosaje wese hata la 10k?

Sasa baada ya kujichanga na vimkopo vya hapa na pale nikavuta IST.

Ni siku ya tatu leo natembelea daladala nimekosa pesa ya wesee.

Kweli kua uyaone!!
 

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
2,530
Points
2,000

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
2,530 2,000
Hata ya daladala watu ukosa,ukitaka amini wengi wanauwa winga kariakoo to ubungo,posta to mwenge ukiwaona utadhani wanaishia hapo tu.Kula kulala waliovimbiwa kodi zetu wakiambiwa Maisha magumu ujibu fanyeni kazi,utadhani kuna mtu asiyependa kazi ili alale njaa.
Mkuu suala la kuua winga lipo Mbagala. Hebu jaribu kukaa round about ya Aziz Ally saa 11 mpaka 12 asubuhi au 12 mpaka tatu jioni uone watu wanavyoua winga.
 

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
9,572
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
9,572 2,000
Mkuu ngoja nikupe akili itakayo kusaidia katika kumiliki gari..kama unafanya kazi au mishe mishe siku ukipata 50,000-150,000 weka mafuta ila ukiendesha gari kwa kuweka mafuta ya 10,000-20,000 hua yanawahi kuisha sana..mkuu kuna jamaa aliniambia ukiweza jaza full tank ule mshale wa mafuta hua unachelewa sana kushuka chini
 

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Messages
1,066
Points
2,000

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2019
1,066 2,000
Hata ya daladala watu ukosa,ukitaka amini wengi wanauwa winga kariakoo to ubungo,posta to mwenge ukiwaona utadhani wanaishia hapo tu.Kula kulala waliovimbiwa kodi zetu wakiambiwa Maisha magumu ujibu fanyeni kazi,utadhani kuna mtu asiyependa kazi ili alale njaa.
Yan acha kabisa, ya mwaka huu kali
 

Forum statistics

Threads 1,379,335
Members 525,398
Posts 33,744,320
Top