sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Mimi hapa nipo mbabe, sijawahi kuogopa sindano labda huko utotoni nilikokuwa sijielewi.Sindano huwa haizoeleki ndugu,haina mtabe
๐๐ Nyie kuchomwa ndo mpk mpigwe mitama..๐Mimi hapa nipo mbabe, sijawahi kuogopa sindano labda huko utotoni nilikokuwa sijielewi...
Seriously!!! Ama unafurahisha umma wa JF? Endelea kumuomba Mungu wako usikutane na sindano ya diclofenac , ule mzigo ni takoni tu utake usitake.Heri unipe vidonge sado mbili ila sio sindano, heri uniache nife kama sindano ndio dawa
Kale kasindano uwa kanashtua, ni chwiii imeisha hiyoAchana n kuchomwa sindano matakoni mkononi kuna vile vipimo unatobolewa kidole na kijisindano, halafu unasuguliwa na kama kiglass hivi
Una roho ngumu.Mimi hapa nipo mbabe, sijawahi kuogopa sindano labda huko utotoni nilikokuwa sijielewi...
Sijawahi ogopa sindano, and sometimes it's better kama kuna opt ya sindano niichague ili niachane na dawa.๐๐ Nyie kuchomwa ndo mpk mpigwe mitama..๐
Kuna dogo kwenye hospitali ya jeshi alitimua mbio aliwazungusha hatari ni kilio tu..
Achana n kuchomwa sindano matakoni mkononi kuna vile vipimo unatobolewa kidole na kijisindano, halafu unasuguliwa na kama kiglass hivi
Ule mda kabla hajafnya chwiii ndo balaaKale kasindano uwa kanashtua, ni chwiii imeisha hiyo
Mpk nimetamani kuwa daktari ili uniachie tu mzigo..๐Sijawahi ogopa sindano, and sometimes it's better kama kuna opt ya sindano niichague ili niachane na dawa.
Siogopagi ila uwa napata mfadhaiko kidogo tu kama mchomaji ni mwanaume, namuuliza kwahiyo we ndiyo mchomaji? Nurses wa kike wameisha? Akisema ndiyo namuachia tu mzigo ๐
Mishipa yako iwe inaonekana haraka.Bora ipitishwe kwenye mishipa mkononi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ati chwiiii jf kiboko ..๐Ule mda kabla hajafnya chwiii ndo balaa
Na mlivyo na makalio magumu yasiopakwa mafuta yamepaukaa na kukakamaa ๐๐๐ ndiyo maana hampendi sindanoMpk nimetamani kuwa daktari ili uniachie tu mzigo..๐
Mi napenda nichomwe sindano na jinsia yatofauti nami sio me mwenzangu๐๐