Nilikuwa siamini ila leo nIImeshuhudia. Kumbe hata watu wazima wanaogopa sindano!

Kuna kijana wa kiume kama miaka 25 hivi, yuko fiti sio legelege maana namjua huwa anacheza sana mpira uwanja wa mtaa wangu napoishi, tumezoeana kiasi basi asubuhi nilimpa lifti kumpeleka hospitalini.

Hali ilikuwa ni vuta nikuvute kijana alikuwa mbishi kuchomwa sindano, alikuwa anamwambia daktari mara nyingi apewe dawa tu wasimchome ikabidi niingie pale kumshangaa jamaa nikamwambia acha uwoga, yaani na ukakamavu wako uwanjani kumbe unaogopa sindano, basi kinyonge akakubali kuchomwa ila sasa dakatari akaja na sindano kaishika mkono moja anaipiga piga kwa vidole jamaa akaanza ubishi tena .

Ikabidi lugha kali tutumie kwa kumpazia sauti aache utoto ndipo alipotulia, sasa daktari kaaanza kuingiza sindano jamaa akaanza kusononeka kwa kilugha hata sikujua anachomaanisha, machozi yalikuwa yanamlenga nusu alie aisee..

Hivi kweli mtu mzima unaogopaje sindano?
Mkuu mi nipo tofauti Sana, mi heri ya sindano kuliko kumeza vidonge
 
Mimi ni mtu mzima kabisa mwenye mke na watoto. Mi wakati nikiwa mdogo nimechomwa sana sindano zote mlizotaja maana nilikua nasumbuliwa sana na magonjwa. Baadae nikiwa nasoma kuna jirani yetu mmoja mdada mkubwa tu alichomwa sindano akapata shida ya mguu wanasema aliemchoma sijui alichoma kwenye mshipa au kitu kama hicho, akawa kama ame paralyze mguu mmoja hadi leo.

Sasa ile hali imenipelekea kuwa na uoga mkuu kwenye kitu kinachoitwa sindano, hasa za matako. Sina shida na sindano za kutolea damu kwenye mkono, au kile cha maleria wala hua sishtuki. Ila sindano ya matako sitaki kuisikia kabisa kwakweli naogopa mnooo! Bahati sijaugua ugonjwa unaohitaji sindano kwa miaka mingi, ila kwakweli ikitokea natakiwa kuchoma sindano sijui itakuaje. Nimeshakwepa sana zile za homa ya manjano wakati wa kusafiri hua niko radhi nihonge hela yoyote nipewe zile kadi. Nipe dawa ndoo nzima ntameza hata ziwe chungu vipi, ila sio sindano aisee. Ee Mwenyezi Mungu endelea kunilinda nisiugue kitu kinachohitaji kuchomwa sindano maana ntakufa tuu mimi. ๐Ÿ™
 
Kuna kijana wa kiume kama miaka 25 hivi, yuko fiti sio legelege maana namjua huwa anacheza sana mpira uwanja wa mtaa wangu napoishi, tumezoeana kiasi basi asubuhi nilimpa lifti kumpeleka hospitalini.

Hali ilikuwa ni vuta nikuvute kijana alikuwa mbishi kuchomwa sindano, alikuwa anamwambia daktari mara nyingi apewe dawa tu wasimchome ikabidi niingie pale kumshangaa jamaa nikamwambia acha uwoga, yaani na ukakamavu wako uwanjani kumbe unaogopa sindano, basi kinyonge akakubali kuchomwa ila sasa dakatari akaja na sindano kaishika mkono moja anaipiga piga kwa vidole jamaa akaanza ubishi tena .

Ikabidi lugha kali tutumie kwa kumpazia sauti aache utoto ndipo alipotulia, sasa daktari kaaanza kuingiza sindano jamaa akaanza kusononeka kwa kilugha hata sikujua anachomaanisha, machozi yalikuwa yanamlenga nusu alie aisee..

Hivi kweli mtu mzima unaogopaje sindano?
 
Kuna kijana wa kiume kama miaka 25 hivi, yuko fiti sio legelege maana namjua huwa anacheza sana mpira uwanja wa mtaa wangu napoishi, tumezoeana kiasi basi asubuhi nilimpa lifti kumpeleka hospitalini.

Hali ilikuwa ni vuta nikuvute kijana alikuwa mbishi kuchomwa sindano, alikuwa anamwambia daktari mara nyingi apewe dawa tu wasimchome ikabidi niingie pale kumshangaa jamaa nikamwambia acha uwoga, yaani na ukakamavu wako uwanjani kumbe unaogopa sindano, basi kinyonge akakubali kuchomwa ila sasa dakatari akaja na sindano kaishika mkono moja anaipiga piga kwa vidole jamaa akaanza ubishi tena .

Ikabidi lugha kali tutumie kwa kumpazia sauti aache utoto ndipo alipotulia, sasa daktari kaaanza kuingiza sindano jamaa akaanza kusononeka kwa kilugha hata sikujua anachomaanisha, machozi yalikuwa yanamlenga nusu alie aisee..

Hivi kweli mtu mzima unaogopaje sindano?
umewaza nini kuandika huu uzi mkuu
 
Sindano hata simba aone unaiweka kwenye sirinji yake anaanza kunguruma kwa ukali
 
Seriously!!! Ama unafurahisha umma wa JF? Endelea kumuomba Mungu wako usikutane na sindano ya diclofenac , ule mzigo ni takoni tu utake usitake.
Ulizia vizuri sindano ya panadu (sijui kama nimeandika jina la hiyo sindano kwa usahihi). Hii sindano huchomwi kama hujala, huchomwi ukiwa umesimama na huwa huchomwa mara mbili, yaana anachoma kalio moja anaweka nusu ya syringe afu hiyo nusu nyingine humalizia kalio la pili. Hii sindano nuksi sana, all in all, nadhani muda umefika kutafuta mbadala wa sindano.
 
Sio diclofenac, kiboko ni cristapen, inauma sana. Hairuhusiwi kuchomwa iv, kuna wakati wanajisahau au mchomaji hajui, ikianza tu kusukumwa tayari ulimi unnaipata harufu yake.

Weee Bora cristapen ..Kuna sindano inaitwa penadu(sijui spelling zake) Ile sindano ni habari ya dunia. .
 
Ulizia vizuri sindano ya panadu (sijui kama nimeandika jina la hiyo sindano kwa usahihi). Hii sindano huchomwi kama hujala, huchomwi ukiwa umesimama na huwa huchomwa mara mbili, yaana anachoma kalio moja anaweka nusu ya syringe afu hiyo nusu nyingine humalizia kalio la pili. Hii sindano nuksi sana, all in all, nadhani muda umefika kutafuta mbadala wa sindano.

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Kumbe na ww unaijua...aisee nimechomwa Sana hiyo ishu...uwiii..uwiii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ! Sitaki mwanangu yoyote aje achomwe nayo
 
Mi nilikutana na nes akanitoboa kama Mara 3 hiv anakosea kosea alaf mi nipo gado tu namuangalia machoni had akaanza kutetemeka yeye
 
Ila ndo uanaume huo...! Unaweza hisi umeandika mradi tu..lakini unaonesha wewe ni mwanaume na nusu๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ..wengine Geti likigongwa usiku anazima taa anaanza chungulia๐Ÿ˜†
 
Mimi ni mtu mzima kabisa mwenye mke na watoto. Mi wakati nikiwa mdogo nimechomwa sana sindano zote mlizotaja maana nilikua nasumbuliwa sana na magonjwa. Baadae nikiwa nasoma kuna jirani yetu mmoja mdada mkubwa tu alichomwa sindano akapata shida ya mguu wanasema aliemchoma sijui alichoma kwenye mshipa au kitu kama hicho, akawa kama ame paralyze mguu mmoja hadi leo.

Sasa ile hali imenipelekea kuwa na uoga mkuu kwenye kitu kinachoitwa sindano, hasa za matako. Sina shida na sindano za kutolea damu kwenye mkono, au kile cha maleria wala hua sishtuki. Ila sindano ya matako sitaki kuisikia kabisa kwakweli naogopa mnooo! Bahati sijaugua ugonjwa unaohitaji sindano kwa miaka mingi, ila kwakweli ikitokea natakiwa kuchoma sindano sijui itakuaje. Nimeshakwepa sana zile za homa ya manjano wakati wa kusafiri hua niko radhi nihonge hela yoyote nipewe zile kadi. Nipe dawa ndoo nzima ntameza hata ziwe chungu vipi, ila sio sindano aisee. Ee Mwenyezi Mungu endelea kunilinda nisiugue kitu kinachohitaji kuchomwa sindano maana ntakufa tuu mimi.
Mimi pia nilishuhudia mtu kapata ulemavu wa mguu kisa sindano ya makalioni
 
Ila ndo uanaume huo...! Unaweza hisi umeandika mradi tu..lakini unaonesha wewe ni mwanaume na nusu..wengine Geti likigongwa usiku anazima taa anaanza chungulia
Hata kuchungulia ni hatua nzuri, wengine uvunguni au kwenye ceiling board na kuwaacha watoto na mke, yani anapanda eneo ambalo hata panya hawezi kupanda
 
Hahaahahah...Kuna siku nyoka aliingia kwa engine dah๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom