Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Nilikuwa najiuliza kila siku niweze kusema hili jambo leo nimepata nimeona ngoja niseme.
Jambo lenyewe lilikuwa kama ifuatavyo:-
Ni kama miaka 10 hivi iliyopita wakati tunasoma chuo. Nilikuwa napendelea sana kwenda beach za kigamboni kuvinjari siku za weekend.
Ilikuwa siku ya jmosi, kama ilibyokuwa kawaida yetu wakati ule kuogelea, huku tukiwafundisha warembo namna ya kuogelea. Wakati mingine tulikuwa tukimaliza kabisa stori zote ndani ya maji na tukitoka kwenye maji tumekuwa wepesiiii.
Watoto wazuri walikuwa wanapenda sana kuogelea na mimi nadhani ilitokana na sura yangu ya mvuto na ucheshi nilikuwa nao. Ni warembo wengi sana wamepita mikoni mwangu. Na jinsi wakati ule livyokuwa kiwembe, sikuacha kuchana popote nilipopita. Nilikuwa na tabia ya kuweka kumbukumbu kila wembe wangu unapopita ninaandika kwenye kitabu changu cha kumbukumbu.
Hebu sasa tuachane na swala hilo la kufundisha warembo wengi kuogelea tuongelee hii issue nyeti ambayo nimekaa nayo moyoni miaka yote hii kumi bila kumwabia yeyote. Nimeona sehemu nzuri yakuwea kuongea yangu ya moyoni ni humu JF.
Sasa basi kwa tabia zangu zile za kupita kila sehemu na nyoa vichwa tofauti tofuati, siku ile nilikwaa mkoko mzuri sijawahi kuuone katika dunia hii. Wakati naogelea na warembo wakiwa wamenizunguka nikamuona kwa mbaali mrembo mkali sana. Aah sikufanya ajizi nikajisogeza kama kawaida yangu. Nilianza kutema sumu zangu. Mtoto mrembo, kavaa nguo za kuogelea zimechora umbo lake namba nane, meno meupe pee. Dah! Akanitajia jina lake kuwa anaitwa Tausi.
Timbwili langu likaanza sasa. Mara nikaliamsha dude. Nikasema Tausi si tusogee mbele zaidi tuogelee maana hapa maji ni machafu. Mtoto akatabasamu na kusema sawa. Nilimshika mkono na kuanza kusogea mbali zaidi na kadamnasi.
Nilizungusha mkono wangu kwenye kiuno chake. Mtoto mlaini mno. Mtoto alinisogelea karibu joto la mahaba likaongezeka. Mrembo alikuwa akinukia manukato aina ya "Filomena perfume" Huku pumzi yake ikawa inaongezeka, huku kinywa chake kikitoa pumzi ya mahaba.
Ngoja nikatishe stori hapo. Nilijikuta navamia tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya bila hata kufikiria chochote. Sasa basi mtoto alinizamisha chini ya bahari. Nikajikuta nipo kwenye dunia nyingine kabisa.
Nimeitwa kidogo nje narudi kuwapa issue hii ...