Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Mpe cha wisho kwanza cha kuagana ............!:tape::love:
Ooooooooohh sikujua kama utabadilika x2Kwako baba mtoto,
Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama.
Nilikupenda sana mfano wa keki/chokoleti (napenda sana keki na chokoleti)
Lakini hukupendeka......., nimechoka hakika sijiwezi, kuishi tena mi na wewe
Ingawa nakupenda, lakini sitoweza.....
Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe.
Najua unausoma ujumbe huu muhusika ila leo ukirudi nyumbani hutanikuta, nitapotea kwenye taswira ya uso wako na maisha yako kabisa, hutaniona tena.
Naenda kuanza upya.
Aliyekuwa mkeo, mama mtoto wako na aliyekupenda daima,
Mkunde.
:disapointed::disapointed:
Nilijua tu.
Mpe cha mwisho kwanza cha kuagana ............!
:tape: :love:
Hawa ndo wale wanaotafutaga waume/ wake humu halafu wakishapata, na kumwagana wanamwagana humu humu...Tatizo mnaangalia sana tamthilia.
Mmeo unakuja kumtalikia kwenye mtandao wa kijamii tena wenye ID feki?
He he he, labda kama mlikutana humu humu.
Pole, hapo umejila mwenyewe.
Akampie huko anakoshinda..atampa saa ngapi wakati hata nyumbani hashindi!!!!
We utakuwa ndio umesababisha haya.....Na mie mke mwenzio leo ndio nahamia rasmi mjengoni,ukinyanyuka tu wenzio twakaa so usije ukabadili mawazo ati
We utakuwa ndio umesababisha haya.....