Tatizo yeye anachukulia mambo juu juu. Kwa upande wangu naona angemuuliza au kama kamtosa pia angemfahamisha kuliko hivyo alivyofanya.
Nimependa hii paragraph heshima yako mkuu!!!!!!!!!japo nampenda lakin nimeamua kumu engage bint mwingine ili akiisha miezi sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harus yangu
π π π πAisee. Hii kali.
Pia na wewe mkuu hukumpenda mwenzio inamana ulishindwa kukaa naye na kumwambia kuwa huziwezi hizo subiri subiri. Ili uone atafanya nini kuliko kumuacha pasi kumtaarifu.
Nyie ndio mnaosababisha saa nyingine watu wanakunywa sumu.
Utoto uko wapi mkuu wakati mwenzake kafuata anachokiamini na mtoa uzi akakubaliana nacho kwa sababu ukisoma mwanzo hadi mwisho hakuna anapoonyesha kwamba aliichukia hiyo tabia.π π π π
Akinywa sumu ataombewa ata ucjal ,kufa hawez Ila cha moto atakiona.yeye kaamua kumeletea utot mwenzake bhc ngj aone mapenz ni kitu gan,
NB TUMUOMBE MKUU ALETE MREJESHO APA BAADA YA MIEZ SITA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelew San bibie BT mda mwngn wanawake muwe mnajiongeza kidg,ujue mahusian ni jambo sensitive San na haiitaj utan utan,,,BT kitu cha muhm APA ni kwamba wanawake wawe makin na iman zao coz wanatekwa na iman mpk wanashindwa kufany mamb ya mcng ambayo ni madogo madogo tuUtoto uko wapi mkuu wakati mwenzake kafuata anachokiamini na mtoa uzi akakubaliana nacho kwa sababu ukisoma mwanzo hadi mwisho hakuna anapoonyesha kwamba aliichukia hiyo tabia.