Poz bizo swaxter
Member
- Feb 27, 2013
- 46
- 3
kwa mala ya kwanza kufika town kwa rafiki wa #Baba {mungu amrehemu} nikaomba kwenda chooni kuingia tu kwanza nika vua gulubasi jinsi marumaru inavo ng'aa choo kina nukia vizuri baada ya kukojoa ktk lile cnk hata ckujua kama kuna kumwaga maji wala kuflash kwa kuvuta ile kamba me nime zoe choo cha ku risasi pemben kulikua na ndoo ya blue imejaa maji masafiiii juu yake kuna kijibomba kifupi afu kombe kubwa lina elea juu nilikua na kiu toka njiani nika piga kombe 1 la ushindi hua ni kikumbuka huwa na fyonza tu!