KumbeWell done.. Japo cmlaumu cz huenda alijua umeipeleka mkuu so hakutaka kuonekana mzembee
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye Ndio aliyekuondoa seal Au sie yeye???Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Tuvumilieni sisi ni kiboro dinda tukiona kibinda tunakitia ndinda !kibinda kikidinda tunawasha dude....Kwani tulikuwa na mkataba mkuu?
Yaani zilianza zile ningekuoa mimi, vikaenda, huyu niliyenae sijamuoa kanisani, nikamuona mzushi huyu, mwanamke unaishi nae, mara ameamka amekwenda reception khee.ungekubali akachukue chumba .mkifika ndani umfungie humo utoke na nguo zake zote umuitie global waje wampige picha
Mkewe pia amemkana leo, anasema si wa ndoa ya kanisani, wanaume.Kuna sehemu wanachoma nyama tamuu sanaa[emoji1] [emoji1] Bucha likaamishiwa Gesti... Shikamoo Mapenzi ya kihenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo umemegwa siyo...
Hahaaa...!
According to Penz la kale'z law
"X relatioship haijawahi kumuacha mtu salama, provided that mliachana pasipo mgogoro mkikutana again lazima mgidane penda usitake"