Nimegundua watu wa humu ndio wanaofanya wanaoanzisha thread wasimalizie story zao,hata kama anatunga si uzi ni wake,inafika kipindi thread inajaa page tatu au nne ukija kuangalia zote ni vijembe na kejeli kwa muanzisha thread

sijasomwa kilicho andikwa ila nitoe comment kwanza
ivi bangi inaruhusiwa lini ili muwe mnatumia kihalali maana hizi mnatumia kinyume na sheria inawapa tabu sana
Nakumbuka enzi hizo shule za bweni ukiingia toi kukata gogo jamaa wamepanga foleni nje wanakusubiri utoke ili nao waingie. Wakiona unachelewa utaambiwa oya summarize.
Jaribu siku moja kutembea kutoka pale kilipo kituo cha basi Gachuma, mpaka daraja la mto Mara kisha uje na masahihisho ya kauli yako kwamba hata akitembea kwa miguu. Au hata kutoka kwa gachuma mpaka kimusi ndani huko au muriba.
Unaweza kukosoa kuwa mtoa mada ni muongo, na wewe ukaonekana muongo zaidi.