Nilikua sijui kuwa kuna wapalestina ni wakristo

Tulia mbuzi meeeh wewe mwanaharamu unaetukuza shetani kwa kuumpa jina la Mungu.

Unaetukuza dini inayohimizA vifo na uharibifu.
Globalize the Intifada inakutia kiwewe wakati wewe nyani pua kubwa nywele kipilipili unajifanya mgalatia konki
 
Aisee
Wanakupanga hao, unaenda kuingizwa chaka
Sijaiamini hio habari, ikabidi nikimbie chatgpt ambako HUKO ndo nikaeleweshwa wapo japo ni wachache sana ila wapo kwani eneo la bethlem ndipo alipo zaliwa yesu miaka hiyo kabla ya uislamu haujaanza kuwepo, na eneo Hilo lilikua palestina ya miaka hiyo
 
Baada ya juzi kupitia mtandaoni, nikaona WAPALESTINA wakristo wakijiandaa na sherehe za xmass nika shangaa hii kumbe Kuna WAPALESTINA wakristo, swali wanaishije na waislamu au wanaishi Israel?
Sijui nini cha ajabu;
Mbona Waisrael ambao ni Waislam ni wengi kuliko Waisrael wakristo; Kule Israel ukijipeleka na habari sijui za Yesu ni Mungu wanakutoa baru....
 
Sijui nini cha ajabu;
Mbona Waisrael ambao ni Waislam ni wengi kuliko Waisrael wakristo; Kule Israel ukijipeleka na habari sijui za Yesu ni Mungu wanakutoa baru....
Dah juzi tena mtandaoni niliona jamaa akichezea kichapo Israel nikashangaa wanadai eti ni MKRISTO, Sasa kama waisrael baadhi hawaamini katika kristo Benjamin netanyahu vifungu vya biblia anavo tumia Huwa ana tumia biblia Gani?
 
KIONGOZI, ISRAEL HAKUNA WAKRISTO
WALIOPO HAWAFIKI HATA 2% SASA HAPO UTASEMA KUNA WAKRISTO?
 
KIONGOZI, ISRAEL HAKUNA WAKRISTO
WALIOPO HAWAFIKI HATA 2% SASA HAPO UTASEMA KUNA WAKRISTO?
Nilikua najiuliza Benjamin netanyahu hi o vifungu vya biblia Huwa anatolea kwenye biblia Gani kama nchi yake haiamni kwenye ukristo
 
Nilikua najiuliza Benjamin netanyahu hi o vifungu vya biblia Huwa anatolea kwenye biblia Gani kama nchi yake haiamni kwenye ukristo

Yule msanii tu, ameshajua kondoo wengi ni mbumbumbu kwa kufikiri Waisrael ni wakristo (wafuasi wa Yesu) kitu ambacho sio kweli; hivyo ili kupata support ya wakristo, akiwa tu na Interview/Mdahalo, anaingia kwa google chap anacopy mistari michache ya kuzugia ili aendelee kushangiliwa na kondoo; Ila ukweli Wakristo pale Israel hawapo; waliopo ni chini ya 2%
 
Ndio mana juzi Israel Kuna MKRISTO kachezea mwano utazani mwizi, nilishangaa sana dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…