Nilikataa uchungaji nikawa mkuu wa wachawi

Samahani lakini, hapo mwisho. Kwani Yesu na Muhammad nani amemzidi mwenzie umri? I mean nani kazaliwa baada ya mwenziwe?:bowl:
 
Samahani lakini, hapo mwisho. Kwani Yesu na Muhammad nani amemzidi mwenzie umri? I mean nani kazaliwa baada ya mwenziwe?:bowl:

swali zuri ndugu yangu king'asti kama umeuliza kwa nia ya kutaka kujua utajua lakini kama umeuliza kwa ufedhuli wa kinafiki hautahambulia chochote utabaki na giza lako.yesu alizaliwa miaka 500 kabla ya mtume na alipoondoka ilipita miaka 500 ndio akaja mtume.tofauti iliopo ni kwamba yesu alikuwa nabii aliyeaidiwa spesho kwa wayahudi na nabii wa mwisho toka kwa watoto wa is'haq,na aliletwa kwa ajili ya kondoo wa nyumba ya israil tu,muhammad ndiye nabii wa mwisho wa Allah Subhana wa tahalah na aliletwa toka ukoo wa ismail mtoto mkubwa wa nabii ibrahim,na ni yeye muhammad aliyeletwa kwa ajili ya dunia yote kwa sabab yeye ndie nabii yule wa ahadi mungu aliyemwahidi ibrahim baada ya ismail kukubali kutaka kuchinjwa wakatui akiwa na umri wa miaka 7 na kwa wakati huo alikuwa ndio mtoto pekee wa abraham,ndipo mungu akamwambia mtoe mtoto wako wa pekee uliye naye ukamchinje naye akakubali na mtoto naye akakubali ndipo mungu akamwahidi ibrahim ukoo wake utakavyokuwa mkubwa na namna is'mail atakavyobarikiwa na ktk uzao wake atazaliwa mwokozi wa ulimwengu wote yaani muhammad(saw).sijui umenipata muhammad alikuja mwisho baada ya issa yeye akafunga mlango wa mitume na manabii,yeyote atakaekuja baada ya muhammad na kujiita nabii au mtume basi atakuwa mtume lakini wa uwongo nao mtume alishatabiri watakuja lakini si kwa jina lake bali la yesu na yesu alishatabiri "watakuja manabii wengi baadaya muhammad lakini watakuwa wa uwongo lakini jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba manabii na mitume hao watakuja kwa jina langu,ni kwa sababu hiyo basi mungu ataniadhibu siku nitakayotoka duniani sitakwenda peponi bali nitaishia mbingu ya kwanza,sabab ya watu kuniita mimi mungu,laiti kama isingekuwa hivyo siku nayoondoka duniani ningekwenda moja kwa moja peponi,lakini sabab watu wameniita mungu nimeadhibiwa kukaa mbingu ya 1 hadi wakati wangu utakapofika nitarudi tena duniani kuja kuwakana wale wanaoniita mimi ni mungu"
 

Wewe kweli hamnazo,unamlingalisha mtu aliebaka kitoto cha miaka 9 na alieishi bila kutenda dhambi!
 

Tafuta mjinga wa kumweleza huu ujinga!
 

mwongo hujiumbuwa mwenyewe mchana kweupe ili welevu wauone ujinga wake.mtoto wa pekee wa Ibrahim leo amekuwa Ismail na si Isaka ambae mungu alimwambia Ibrahim amtoe sadaka ya kutekeza.wajinga ndiyo waliwao.
 
mzizi mkavu jaribu kutunga riwaya ya kijasusi au kipelelezi tuone kama nazo unazimudu kama hizi za kichawi na majini. nakukubali sans
 
Umetumia muda mwiingi kueleza process uliyopitia- lengo likiwa ni kuteka hisia za watu hapa.

*Una lengo la kutaka kumwonyesha msomaji kuwa wewe umepikwa vizuri (Sijui kati yako na hao waliokupika nani ni zaidi)

*Umejaribu kueleza gharama uliyolipa (mtoto wa mchungaji) kwa kuitosa familia yako kwa kuuza roho yako kuzimu

*Waganga woooooote wana tabia ya kutamba kuwa wao ni mwisho wa matatizo (hakuna atakaekwambia kuwa anajaribisha)

*Nijuavyo mimi kuna gharama nyingi ambazo shetani anawatuma mlipe in a form of sacrifice - you need a repentence!

*uovu mnaowafanyia watu mnahitaji KUUNGAMA NA KUTUBU

*REPENT REPENT REPENT na usije tufanya kuamini kuwa sasa una raha sana maishani mwako. There is only one blood that speaks better things - BLOOD OF JESUS! kwisha!
 
Elimu ya majini - kutegemea majini, kutumikia majini - akili ndogo utaijua tu. You trust and rely on things you have no control over them. Na unataka wenye wenye akili waamini kuwa wewe ni solution kwenye society????
 
Wakati wengine wanakwenda INDIA kusomea Udaktari wewe unatueleza umekwenda kuzimu kwa shetani! (Matangazo ya biashara yako nzuri TEMEKE,MWANANYAMALA, ZANZIBAR) mbona sheikh yahaya aliyekuwa anafuga majini kama kuku (mbona akafa???????????????) hizi hadithi kama za Harry Porter!
 
Huu ujinga kawaeleze ndugu zako mwanayamala. Kama hujui nyamaza.Maelezo yako juu ya Bwana Yesu yatakusaidia wewe kuuza kanda na kuchangisha pesa huku povu likikutoka mdomoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…