Nilikataa malipo ya kwanza: Mwenye uwezo wa kuendelea na kesi nimuuzie hizi nyumba

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,724
1,463
Muumba wa mbingu na nchi na awe nanyi.

Nyumba za marehemu baba yangu(zote ziko eneo 1 ziko tatu) tumebahatika kuzaliwa wawili mimi m** na dada joy alieolewa ana maisha yake.

Ziko airport, nilikataa offer ya kwanza kwenye hatua ya kwanza ya mediation, yatupaswa twende the second step- arbitriation nadhani watu wa sheria wanajua. niko opp. term 3(new) kama uko interested inbox your number.
 
Back
Top Bottom