Nilikaribia kugegeda someone's wife

Nilikaribia kugegeda someone's wife

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
537
Nimezoeana sana na huyu mwanamke nimempenda sana,naye kumbe alikua akinipenda ever since tumeanza kuzoeana, because i am kinda charm and so caring and i know this,nimeingia kwenye relation nae bila hata ya kumtongoza mazoea yalizid kiasi cha kuanza love realationship,Recently kaniambia yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja wa umri kama miaka mitatu hivi..Dah nilichoka kwan nimempenda huyu mwanamke balaa.Daily amekua akiniambia mumewe hamjali wala kumthamini like he used to do before he married her, much less hamridhishi on bed.Nashukuru Mungu sijazini nae ila before sijajua kua ni mke wa mtu nishafanya nae foreplay(romance) mpaka nikamfikisha kileleni without penetration ya dushelele yangu,nafanya process ya kuachana nae ingawa najua ni vigumu kwangu hata kwake pia kwa haya mapenzi tuliyooneshana kwa muda mfupi.


My take:Wanaume mliooa wathamini wake zenu muwajali kama mlivyokua mnawajali kabla ya kuwaoa,vinginevyo ni rahisi sana for them to cheat on you.
 
Nina swali wakat mnafanya hiyo foreplay(romance) mlikuwa wapi??mpaka ukamfikisha kileleni duh dushelele hukumpa?????
 
Magazeti ya Shigongo yatakavyo andika baada ya wewe kunaswa tegoni.
"Aliye jidai Great Thinker anaswa kiunoni mwa mama muuza gongo", Hilo litakuwa ni Risasi, Uwazi watakuja na kichwa cha habari, "Baada ya JF kumponda Shigongo kwa kunyang'anya passport ya Chameleon, hatamaye haki imetendeka, Mwana JF anaswa akizini na mke wa mtu"
 
Kijana kama upo hapa town Bongo, kaa mbali sana na wake za watu. Very dangerous yaani. Kuna jamaa kimemtokea puani. Alikuwa akigedageda na mke wa askari moja, kachomwa sindano za sumu kwenye macho leo hii anaona usiku kila mchana.
 
Nina swali wakat mnafanya hiyo foreplay(romance) mlikuwa wapi??mpaka ukamfikisha kileleni duh dushelele hukumpa?????
amu!!!ulipotea bwana karibu kwenye lile jukwaa letu pendwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Waswahili wanasema mke wa mtu ni sumu,jitahidi kuepukana naye!Ipo siku itakugarimu!!
 
Uko vizuri Mkuu, Hongera sana.
Ongeza juhudi uweze kuachana nae.
 
Daily amekua akiniambia mumewe hamjali wala kumthamini like he used to do before he married her, much less hamridhishi on bed.

Hakuna mwanamke 'mke wa mtu' aliyegegedwa au anayetaka kugegedwa nje bila kumsingiazia mumewe ndio sababu ya ufuska wake...tofauti na wanaume ambao when they cheat, they dont really need a reason or excuse to! Kwa hiyo usijione kidume saaan kwa kuwa umesifiwa sijui unajali, sijui uko romantic, sijui you are good on bed...even if mumewe anampa yote hayo, mwanamke akitoka nje bado atasema hapati! Ka kugegeda gegeda tu...but dont think its their husband's fault that unagegeda wake za watu!
 
Duh! we jimwayemwaye mdogo wangu, ila jihadhali kugandana
 
Utashikishwa ukuta..mke wa mtu ni sumu,usijifanye maziwa!
 
Back
Top Bottom