chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Ukatili wa kijinsia bado upo licha ya kuwepo kwa mashirika ya kutetea haki za watoto, mtoto huyu aliolewa katika umri mdogo kisha mume wake kumfanyia ukatili wa kijinsia iliyomsababishia kupata matatizo makubwa.
Huko Mpanda huko Geita, alilazimishwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 kwa ng’ombe 5 kutoakana na umasikini, maisha yalisonga akapata ujauzito akakaa na uchungu kwa siku 3 na siku ya nne wakati mtoto anaanza kutoka miguu ikawekwa kwenye maji ya moto ili ajifungue.