Nilijua tuuu tutafungwa na rwanda.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilijua tuuu tutafungwa na rwanda.....!

Discussion in 'Sports' started by gango2, Nov 26, 2011.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda

  julio kama kawa sijui kama analakujitetea!!
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ulijua au ulihisi? Kama ulijua: Bao ulijua lingefungwa na nani na dakika ya ngapi? Je, bao la penati, free kick, corner au namna gani?
   
 3. M

  Maswalala Senior Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uongo ww kama ulijua stars itafungwa mbona hukuweka hii post b4 game ianze
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  kila kitu wanya rwanda wanatuzidi kwa sasa!
   
Loading...