Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,416
Umesoma by doing. Practice make petfect. Ila utakuwa una Ombwe ya theory behind. Hujaonesha vitabu ulivyosoma. Hizo website zinadokoa dokoa vitu vta muhimu tu hazizami deep down and cultivate the knowledge. Ukiwa mwalimu hutaweza kujibu maswali mengi ya Why this...?Nilijifunza matumizi ya internet kwanza
Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni
Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha
Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez
Nikahamia c nikajifunza sana
Nikaona implementation yake ni ngumu
Kila kitu hapo juu nilikuwa na soma theory
Nilivyo pata kuwa na kompyuta nikaanza na java
Kuna YouTube channel moja inaitwa freevodecamp niliangalia sana tutorial zao zile ndefu ndefu nilitumia gharama kubwa sana kwenye kununua bando.
Nilitumia muda mwingi nikiangalia tutorial zile code anazo kuwa anaziandika mfundishaji kwenye computer yake nakuwa naziandika kwenye daftari zote daftari likijaa na pause video naenda kununua lingine nikimaliza naingia kwenye IDE mara yakwanza zilikuwa hazileti majibu mara siku moja majibu yakaja kama ya mfundishaji nikafurahi sana
Tangu siku hiyo nikaacha kuandika nikawa nafungua IDE na video kwa pamona nakuwa na practice
Nikaacha kuangalia video
Nikatafuta website
Moja inaitwa geekforgeeks.com,javatpoint.com, w3school.com
Nikaja kugundua kumbe programming sio peke yangu ninaye pitia changamoto yaan bugs kumbe kuna sehemu watu wanna share matatizo yao na yana jibiwa na walio tangulia site hiyo inaitwa stackoverflow.com ni site maarufu self taught yoyote lazima anaifahamu na hata ambaye sio self taught
Nikapata ujasiri hadi wa ku edit full project ya mtu naifanya ninavyo taka
Yaan naweza chukua source code nikatengeneza products nyingi kutoka kwenye hiyo
Baada ya hapo nikawa na uwezo wa kufikilia na kutenge eza program kama niliyo waza
Baada ya hapo nikawa na uwezo huu wa kuangalia au kusikiliza tatizo la mtu na kutengeneza kwa kadri anavyo taka.
PIA SOMA
- Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming
Hii ni nini ?cive
Mkuu usibeze digrii. Degrii inakupa wide knowledge na connection. Self learner unaweza kukomaa na kitu kidogo muda mrefu wakati chuoni unasaidiwa hata na peer group. Binafsi najuta kwa nini si ku Opt kozi za programming chuoni zingenipa msingi. Kwa mfano kujifunza algorithms at home very boredom wakati chuoni lazima uisome na ufanyie mtihani.Elimu sio degree huo ni mfumo tu uliowekwa na n usefule kama utaajiriwa tu ila kma utapita njia tofauti na ajira degree so kitu
Ili mwende pamoja, inabidi muwe na common definition ya elimu. Naaam....Hivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!
Mshindwe na mlegee nyie mnaobeza elimu!
Inapendeza sana
Mkuu shida watu wanakujibu kwa mihemko na hawaelewi point yako,Hivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!
Mshindwe na mlegee nyie mnaobeza elimu!
Shida ni interpretation yenu ya elimu ndo inamapungufu, ukielewa elimu huwezi kutoa point kama hii.Elimu sio degree huo ni mfumo tu uliowekwa na n usefule kama utaajiriwa tu ila kma utapita njia tofauti na ajira degree so kitu
College of information and virtual education (udom)Hii ni nini ?
Wote mpo sawa.Shida ni interpretation yenu ya elimu ndo inamapungufu, ukielewa elimu huwezi kutoa point kama hii.
Hiki kizazi kisiichoona umuhimu wa elimu ni hatari sana katika hili taifa, wadogo zangu mnakwama wapi sijuwi
Anaposema elimu sio degree anamaanisha nini? Iwe formal ama informal kila elimu ina ngazi yake.Wote mpo sawa.
Elimu isio rasmi na elimu rasm.
Sema faida nyingi zipo kwa elimu rasm.
Mfano kuna board of proffesionalism kama za mainjinia asie na cheti asajiliwi.
Hapa TZ mfumo rasmi ni rafiki zaidi.
Ulaya wanataka creativity sio vyeti.
Sema wasiokuwa na elimu ya shule wapo very focused and very competent kwenye eneo lao.
Angalia wanamuziki wasio soma jinsi walivyo mahiri.
Kwa hio ktk dunia ya sasa jambo kubwa ni kuweza kufanikiwa bila kujali unapitaje.