Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

River Mbane

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
27
Reaction score
4
Baada ya kushinda uchaguzi wa urais,babu wa Zimbabwe anahutubia wapiga kura wake kuhusu swala la ndoa za jinsia moja.Babu anadai yeye hana tatizo na hao watu ila anachowataka tu baada ya kuoana mmoja wapo ambaye ni mke apate mimba biologically ambapo itathibitishwa na madaktari kuwa ni ya mme halisi katika ndoa yao.Sababu ya kuhitaji uthibitisho wa madaktari ni kwa kuwa kwa waliooana mwanamke kwa mwanamke wangetake advantage kwa kupandikiziwa mbegu au kutoka nje ya ndoa yao na kupata mimba. Gud idea babu
 
^^
Kwa lugha nyepesi hajaidhinia.
Robert Mugabe !!!
^^
 
Mugabe yuko againt homosexuality hata ktk ile ziara alikua anampinga

sana Obama.
 
Watu waliofungwa nira za Ibilisi ndiyo pekee watakaopigia debe mambo ya ufirauni wa kishoga, kichoko na usagaji...

1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

1 Timotheo 1:10 na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;
 
ha ha babu ana maneno makali? wanaweza kumwambia wao ni wagumba hawazai
 
Napenda watu wenye misimamo ya kukataa mambo ya kijinga kama hayo ya ndoa za jinsia moja!
Sijui binadamu tukoje maana hata nyani mwenyewe, hawezi kuyafanya hayo ambayo mataifa ya nje yanataka kutuhalalishia. Hakuna imani ya dini wala tamaduni inayoruhusu uchizi wa namna hii. Ni vyema tupinge kwa kauli moja.
 
Baada ya kushinda uchaguzi wa urais,babu wa Zimbabwe anahutubia wapiga kura wake kuhusu swala la ndoa za jinsia moja.Babu anadai yeye hana tatizo na hao watu ila anachowataka tu baada ya kuoana mmoja wapo ambaye ni mke apate mimba biologically ambapo itathibitishwa na madaktari kuwa ni ya mme halisi katika ndoa yao.Sababu ya kuhitaji uthibitisho wa madaktari ni kwa kuwa kwa waliooana mwanamke kwa mwanamke wangetake advantage kwa kupandikiziwa mbegu au kutoka nje ya ndoa yao na kupata mimba. Gud idea babu

Hiyo siyo hoja kwani hata waliooana mke na mume wengi tu wanawake hawapati mimba. ningemuelewa babu angesema anapinga ndoa za jinsia moja full stop. sio kuleta brabra za kupata mimba kwani wanawake wote wanapata mimba?
 
mimi ninavyohisi kwa babu zilikuwa ni mbwembwe tu kusema hivyo,but the main point ilieleweka kuwa anapinga hizo mambo nchini kwake.
 
hapo ndo watawakamatwa vizuri coz mwanamke huwezi kusema kuwa hushiki mimba huku unado na mwanamke mwenzako,pia kwa mwanaume huwezi cngizia huzalishi wakati unado na mwanamme mwenzako.Kama aliye mwanamke hashiki mimba atapimwa kuthibitisha pia aliye mwanamme pia atapimwa ka ni kweli hazalishi.So babu bado yupo sahihi 100%
 
madokteri waliko kuthibisha hatalikokuwa mugumba lakini hatalikokupata mtoto.Babu sio wa leo,mjanja yuleee
 
Back
Top Bottom