mediaman JF-Expert Member Mar 20, 2011 451 687 May 27, 2021 Thread starter #341 Naikuru said: Hongera sana mkuu. Back to me ... Asante kwa kunipa njia nzuri ya kupata jinsia ya mtoto nimtakaye maana hapa mimi natungua ya kiume tu na niliahidi kimoyo moyo nitamzalisha Hadi kieleweke.. Sasa naanza maombi Rasmi Click to expand... Amen.
Naikuru said: Hongera sana mkuu. Back to me ... Asante kwa kunipa njia nzuri ya kupata jinsia ya mtoto nimtakaye maana hapa mimi natungua ya kiume tu na niliahidi kimoyo moyo nitamzalisha Hadi kieleweke.. Sasa naanza maombi Rasmi Click to expand... Amen.
Profkaka Member Apr 17, 2015 27 22 Aug 20, 2021 #342 Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi
Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi
R road master JF-Expert Member Jun 11, 2020 2,064 3,012 Aug 21, 2021 #343 mediaman said: Unajuaje hahangaiki? Click to expand... Akikujibu utanistua nakunywa pombe ya kienyeji hapa bar!!! Tozo zimenichosha
mediaman said: Unajuaje hahangaiki? Click to expand... Akikujibu utanistua nakunywa pombe ya kienyeji hapa bar!!! Tozo zimenichosha
cariha JF-Expert Member Apr 9, 2015 22,077 46,344 Aug 21, 2021 #344 grellerne said: Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi Click to expand... Watoto wakike ndo hutunza familia wakiume wakioa hiacha kutunza wazazi wao
grellerne said: Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi Click to expand... Watoto wakike ndo hutunza familia wakiume wakioa hiacha kutunza wazazi wao