shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,154
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia.
Katika hili tulitofautiana na wengi sana kipindi cha mwanzoni.
Ila sikutegemea angefanya mambo ya ajabu ambayo kwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuyafanya kwa nchi yake na wananchi wake (yaani waislamu wenzake,wakristo na wapagani) wa Tanzania hii yenye rasilimali nyingi za ambazo tungezitumia vizuri tusingekuwepo hapa tulipo na wala tusingeyapata yaha tunayoyapata.
Yaani nilijua ameoza tu,kumbe "nilimuunderestamate" alishabakia mifupa tu.
Wadanganyika wenzangu Openi your Mind, not your Eyes.