Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Kijana umepewa gari na bro wako ukalioshe we unatumia kutongozea mademu, hafu inaonekana wewe njaa zinakusumbua Mwanamke hata kama anaishi Chanika, au Kisarawe lazima umpeleke maeneo ambayo yatambadilisha fikra zake, nakushauri kama unavipesa vya mawazo acha kutongoza mabinti hovyohovyo tena katika maeneo expensive
 
Usipokua na akil daslam,utaishia kula madem wa ajab ajab kaka,lazima uwe na strategy

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes strategy ni muhimu lkn sio hiyo ya kutumia hela nyingi halafu badae unaanza kulialia kwa kujutia hela yako.
Ziko strategies unaweza kuzifanya bila kutumia pesa Kama umewazoea vizuri wanawake,ila Kama ndio unajifunza swaga za kuchukulia mademu hutaweza kunielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…