Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,367
Ni dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..
 
utakuwa umejibebesha hatia ya damu bure damu ya mtoto wako itakullia siku zote labda kama hupendi watoto,after all hicho kisai sio haki kama unataka na wewe si umuwekee laudi spika sasa hivi ukiwa na washkaji wako akiwa anajikanyaga na yeye achekwe kama wewe?
 
unaonekana unampenda sana, aliyokufanyia na bado amezalishwa na bado unamkubalia... so ukimuumiza ni kama unajiumiza mwenyewe so kama ujaoa na yaeye bado nafikiri ungemchukua tuu
 
mkuu kwani huwezi kugegeda hadi utoe posa?onja tu usepe -inaongeza hadhi ya kiume
 
Nadhani kumuonesha uwezo ulokuwa nao ni tosha, hayo ya mimba yanakujaje?? Utakuja juta aisee

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Uamuzi wako sio mzuri. Alafu mapenzi hayajaribiwi unaweza kuingia ukasjindwa kutoka. Fikiri kwanza tuliza mumkari.
 
Uamuzi wako sio mzuri. Alafu mapenzi hayajaribiwi unaweza kuingia ukasjindwa kutoka. Fikiri kwanza tuliza mumkari.








































hakuna kitu kama hicho.... Nmeandika hapa ili wanawake wengne mjifunze kama ulishamkataa mtu tena kwa dharau ukiwa mbbichi sasa unamfuta wa nn wakat tayar umeshakongoloka? Sasa huyu mwnzenu ajiandae kudhalilishwa
 
Makomana achana naye. Usimgegede wala usimfuatilie kivile.
 
Last edited by a moderator:
Anataka kukufanya tairi la spea, amka wewe
 
Back
Top Bottom