carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
Habar ya j3 wana jamvi! Polen kwa uchovu wa wkend!
Nakumbuka ni takribani miaka 5 sasa nikiwa nafanya kazi kama papaa chalii mkoni Arusha. Nilichagua kupangiwa kituo cha kazi Arusha ili niwe naishi nyumban as mnajua kazi yenyewe hailipi sana na pia ndo nlikua naanza maisha so ingekuwa ngum kupanga.
Kwa elimu nlikuwa form 6 leaver ila mzee wangu alikuwa na rank kubwa huko kwenye kaz so hakupenda niende chuo akanitupa kwenye geshi.
bas afta kuanza kazi hyo nikapa girlfrend! Ikabid nipange chumba maeneo ya Sanawari ili nipate muda wa kujinafasi na huyu mpenz wangu! Tulikuwa close na tulipendana sana hadi akawa anahamia kwangu kama week then anarud kwao.
janga lililonikuta , siku napita town naelekea makao mapya maeneo ya kenny garden nikamuona mpenz wangu! Yuko na jamaa mdogo tu! Niliumia roho sana.
nikampigia simu hakupokea! Ikabid nim txt kumuuliza alipo! Akaniambia yuko nyumban kwao! Bas na me nikamjibu anifuate kenny garden kula bata! Akazima simu sikumpata tena.
ikabid niende karibu na meza yao! Na me nikaagiza kinywaji! Mfukon nlikuwa na buku 5 tu.nikanywa bia ya kwanza,kufika ya pili nikapata ujasir nikamuita mpenz wangu, akanifuata nikamuuliza mbna ananisaliti? Akaniomba msamaha!
Bas nikamwambia akalete kinywaji chake tujumuike meza moja! Kwel akaleta bia yake na parcel ya take away chips kuku!
yule mwizi wangu kuona nimemchukua mpenz wangu akasepa! Akaniacha na mpenz wangu.
Balaa ni kwamba yule jamaa alitenganisha bili! Akalipa bia zake tu! Zile alizomnunulia mpenz wangu na chips hakuzilipia! So nlivyoletewa ile bili nilihisi kuzima! Bili ya elfu 20 na ushee na mie mfukoni niko na buku 5! Aibu iliyoje? Bas nikamuomba mhudum niache simu ya mpenz wangu kama bond then kesho nirud kulipa! Bas tukaacha simu na tukarud home wapolee.
usiku ulikuwa mrefu sana, ile kumekucha ikabid nimfate mzee wangu na kumwambia sitaki tena kazi ile! Nataka niende chuoni na grade yangu ya 4m 6 haikuwa mbaya! Mzee akakubali, nikaanza chuo na nimemaliza miaka 2 iliyopita na nimepata kaz nzur.
Yule mpenz bado anataka niwe nae nahisi ni gold digger ila sometym namwona kama mkomboz wangu! Manake bila yeye nisingepata challenge ya kwenda kusoma!
Maisha ni safari ndefu wanandugu.. HII ISHU ILINISISIMUA SANA NLIPOMUULIZA MSHKAJI AMEWEZAJE KUWA NA HAPPY RELATION KWENYE NDOA YAKE NDO AKANIPA HUU MKASA! KWA KWELI NILIMPONGEZA KWA USHUJAA NA UPENDO WA KWEL.