Kama Batirda Buriani (sijuhi kama nimeandika jina lake kwa usahihi), Mkuchika, nk, bado ni watumishi wa umma tegemeo yaani hakuna mbadala wao unadhani kuna sehemu ya kupenyeza fikra mpya...
Nimemuona Kitilla Mkubo BBC hata "angle ya kamera" kuiweka vizuri kashindwa....bila shaka hana msaidizi kijana wa kumuelekeza haya mambo ya kidigitali...
Mbowe bado anapambana na kivuli cha Jiwe huko mikoani, miaka yote aliyokuwa "gereji" hakuwahi kubuni kitu kipya cha kuwaunganisha watu wake...
Nafasi za ajira zilizotangazwa 8000 elimu nasikia waombaji wamefika laki kadhaa...ukute kuna "graduate" ana miaka 5 bado anasubiri kuajiliwa(aibu hii jamani)
Viti maalum form IV super failure ilibaki kiduchu aukwae uRAS...hahahah!
...kutazama maajabu, biashara nayo makaziiii....Tanzania, Tanzaniaa...naku...!.