Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

Ochutz

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
465
Reaction score
106
Nilipokutana na katibu mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa baada ya kushindwa vibaya na CCM kwenye uchaguzi ulioisha siku za karibuni nilizungumza nae mambo makuu mawili (wanajamvi mtaongezea mengine) ambayo pengine yamechangia ya huenda yakapelekea kutoa matokeo yaleyale kama hayatafanyiwa kazi.

i)Nilimkumbusha aangalie tofauti kubwa inayojitokeza baina ya wananchi wanaojitokeza kupiga kura na wale waliojiandikisha tofauti ni kubwa sana. Ni wastani wa 30%-40% ndio wanaojitokeza kupiga kura .Hata kwenye hizi chaguzi ndogo zilizopita hali ni hiyo hiyo. Nikamkumbusha hata 2010 Rais wa nchi alichaguliwa na watu wasiozidi mil 5 kati ya takribani watu mil 20 waliojiandikisha. Sasa ukitoa wale waliopoteza au KUUZA shahada zao kwa hiari baada ya kurubuniwa na wanasiasa(hasa CCM),pia ukiondoa wale wanaoshindwa kufika kwenye vituo vya kupiga kura kwa hofu ya vurugu zinazozuka muda mfupi kabla ya uchaguzi,sababu inayotolewa na wengi ambao hawajitokezi kupiga kura ni kutokuwa na imani na wagombea husika.

Hivyo inawezekana kabisa CCM ikawa inashinda hizi chaguzi kwa sababu tu watu wengi hawajitokezi kupiga kura na si kuwa wanakubalika kama wanavosema wenyewe. Nilimshauri waongeze bidii kwenye mpango mkakati yao,ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kutosha na ya dhati ili wananchi wajitokeze kupiga kura kwenye chaguzi zijazo.Yanaweza yakapatikana matokeo tofauti na ilivyo sasa. Pia nilimtahadharisha kuwa wasitegemee CCM kulifanya hilo la kutoa elimu. Katibu mkuu wa CCM Mh A.Kinana aliwahi kutoa kauli kwamba anaridhika na mahudhurio katika chaguzi.Kwa CCM hata akitokea mpiga kura mmoja kati ya mia,ilimradi hiyo kura moja ni ya kwao hawana tatizo kabisa. Wanachotaka ni ushindi tu.

ii)Pia nilikubaliana nae kwamba kutoboreshwa daftari la wapiga kura kunachangia CCM kupata ushindi mkubwa ikiwa ni pamoja na chaguzi zilizoisha punde. Nimemtahadharisha kama wataenda kushiriki kwenye chaguzi za CHALINZE na KALINGA bila ya daftari la wapiga kura kuboreshwa watarajie KIPIGO KITAKATIFU kutoka CCM na pia nikamchekesha baada ya kumwambia aandae kabisa sababu za kuwadanganya wana CHADEMA kutokana na kushindwa kwao kwenye hizo chaguzi.

Inafahamika mara ya mwisho daftari la wapiga kura liliboreshwa mwaka 2009 kuelekea uchaguzi 2010. Ni zaidi ya miaka MITANO sasa.Kuna idadi kubwa ya vijana kati ya miaka 18-28 hawamo kwenye daftari la wapiga kura ,achilia mbali waliopoteza shahada zao(inakadiriwa zaidi ya watu mil 5 hawamo).Ni idadi hii ya watu mil 5 ndio ilimuweka Rais madarakani.

Na nikamkumbusha ni hao hao vijana wengi walio kwenye hiyo rika nililotaja hapo juu ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA na ndio hao hao CCM kwa makusudi wanawanyima haki yao ya msingi ya kupiga kura. Fahamuni suala la kucheleweshwa kuboresha daftari la wapiga kura halifanywi kwa bahati mbaya.Na hakika msipoangalia mtaendelea kujaza maelfu ya wananchi katika mikutano yenu ambao ndio hao hao walio kwenye hilo rika nililotaja hapo juu ambao hawamo kwenye daftari la wapiga kura. Ni juzi tu katibu mkuu wa CCM Ndugu A.Kinana alitoa kauli kwamba anaridhika na idadi ya wanaojitokeza kupiga kura na haoni sababu ya kuboreshwa daftari la wapiga kura.

Ochutz,
Kwa bahati mbaya huna ujasiri wa kuandika jina lako la kweli, hivyo siwezi kujua Kama kweli ulinipa ushauri au umetunga tu. Ebu jiulize katika akili ya kawaida, Mimi na wewe ( au Chadema) nani angelimshauri mwenzake, wake moja Kati ya lengo la OPeration Pamoja Daima ni kuishinikiza Serikali kuboresha Daftari Hilo. Hayo yamesemwa na Mbowe, Lisu na Slaa! Kati yako wewe na Slaa ni nani Hana uelewa au nani ampe ushauri mwenzake. Ni vema tusifanye ushabiki katika mambo mazito.

Kama kweli ukielewa na una nia njema, badala ya kutuma ujumbe kwa Slaa, ungeandika kwenye Gazeti ili uishinikize Serikali kwa kuwa kazi ya kuboresha daftari ni ya Serikali na NEC yake. Aidha ungelikuwa na ujasiri wa kupostiwa kwa ID yako ningelijua Kama tuliongea la, kwa sasa hoja yako haina maana yeyote,
 
Nilipokutana na katibu mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa baada ya kushindwa vibaya na CCM kwenye uchaguzi ulioisha siku za karibuni nilizungumza nae mambo makuu mawili (wanajamvi mtaongezea mengine) ambayo pengine yamechangia ya huenda yakapelekea kutoa matokeo yaleyale kama hayatafanyiwa kazi.

i)Nilimkumbusha aangalie tofauti kubwa inayojitokeza baina ya wananchi wanaojitokeza kupiga kura na wale waliojiandikisha tofauti ni kubwa sana. Ni wastani wa 30%-40% ndio wanaojitokeza kupiga kura .Hata kwenye hizi chaguzi ndogo zilizopita hali ni hiyo hiyo. Nikamkumbusha hata 2010 Rais wa nchi alichaguliwa na watu wasiozidi mil 5 kati ya takribani watu mil 20 waliojiandikisha. Sasa ukitoa wale waliopoteza au KUUZA shahada zao kwa hiari baada ya kurubuniwa na wanasiasa(hasa CCM),pia ukiondoa wale wanaoshindwa kufika kwenye vituo vya kupiga kura kwa hofu ya vurugu zinazozuka muda mfupi kabla ya uchaguzi,sababu inayotolewa na wengi ambao hawajitokezi kupiga kura ni kutokuwa na imani na wagombea husika.

Hivyo inawezekana kabisa CCM ikawa inashinda hizi chaguzi kwa sababu tu watu wengi hawajitokezi kupiga kura na si kuwa wanakubalika kama wanavosema wenyewe. Nilimshauri waongeze bidii kwenye mpango mkakati yao,ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kutosha na ya dhati ili wananchi wajitokeze kupiga kura kwenye chaguzi zijazo.Yanaweza yakapatikana matokeo tofauti na ilivyo sasa. Pia nilimtahadharisha kuwa wasitegemee CCM kulifanya hilo la kutoa elimu. Katibu mkuu wa CCM Mh A.Kinana aliwahi kutoa kauli kwamba anaridhika na mahudhurio katika chaguzi.Kwa CCM hata akitokea mpiga kura mmoja kati ya mia,ilimradi hiyo kura moja ni ya kwao hawana tatizo kabisa. Wanachotaka ni ushindi tu.

ii)Pia nilikubaliana nae kwamba kutoboreshwa daftari la wapiga kura kunachangia CCM kupata ushindi mkubwa ikiwa ni pamoja na chaguzi zilizoisha punde. Nimemtahadharisha kama wataenda kushiriki kwenye chaguzi za CHALINZE na KALINGA bila ya daftari la wapiga kura kuboreshwa watarajie KIPIGO KITAKATIFU kutoka CCM na pia nikamchekesha baada ya kumwambia aandae kabisa sababu za kuwadanganya wana CHADEMA kutokana na kushindwa kwao kwenye hizo chaguzi.

Inafahamika mara ya mwisho daftari la wapiga kura liliboreshwa mwaka 2009 kuelekea uchaguzi 2010. Ni zaidi ya miaka MITANO sasa.Kuna idadi kubwa ya vijana kati ya miaka 18-28 hawamo kwenye daftari la wapiga kura ,achilia mbali waliopoteza shahada zao(inakadiriwa zaidi ya watu mil 5 hawamo).Ni idadi hii ya watu mil 5 ndio ilimuweka Rais madarakani.

Na nikamkumbusha ni hao hao vijana wengi walio kwenye hiyo rika nililotaja hapo juu ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA na ndio hao hao CCM kwa makusudi wanawanyima haki yao ya msingi ya kupiga kura. Fahamuni suala la kucheleweshwa kuboresha daftari la wapiga kura halifanywi kwa bahati mbaya.Na hakika msipoangalia mtaendelea kujaza maelfu ya wananchi katika mikutano yenu ambao ndio hao hao walio kwenye hilo rika nililotaja hapo juu ambao hawamo kwenye daftari la wapiga kura. Ni juzi tu katibu mkuu wa CCM Ndugu A.Kinana alitoa kauli kwamba anaridhika na idadi ya wanaojitokeza kupiga kura na haoni sababu ya kuboreshwa daftari la wapiga kura.

Sina hakika sana kama Mh amenielewa ila ujumbe umfikie….!

Huko kote mbali ungemshauri kwanza abadilishe M4C movement for Change na kutafuta neno la Kiswahili linaloeleweka na hapo ndio utakuwa mwanzo wa kuona kweli hawa wanawajali wananchi wa kawaida na sio wazungu! kama CCM, Nguvu Mpya Ari Mpya, Maisha Bora kwa kila Mtanzani n.k
 
ni kweli
 
Mkuu endelea kumshauri babu madudu na utegemee pengine atakukubalia.
Akikubali imekula kwake anyway.

Swali la kujiuliza kwako, kama una akili ya kuchambua maswala, ni kwamba, kama CHADEMA wamekuwa popular na chopa kutengeneza inroads kwa uanachama watu waliokuwa CCM, Walioandikisha hiyo 2009 wako wapi?

Msijipe sababu ambazo na nyie wenyewe mnajua hazina mashiko.
Chances are hata daftari likiboreshwa kesho, wananchi wengi zaidi watachagua CCM, maana zaidi ya kulalama na polisi na maandamano, CDM haina mchango wowote kimawazo jinsi ya kuliendeleza ztaifa hili.

Msifikiri wTanzania ni wajinga, they know where their hearts lie.

Na kama ni wewe ulimshauri juu ya kukodi chopa tatu, matokeo yake mmeshayaona.
 
Naunga mkono hiyo ya wapiga kura/wananchi kutokuwa na imani na wagombea. Viongoz weng wa tz wakishachaguliw ndio basi hivo watu wanaona wote ni walewale... Daftar n sababu ila sio kubwa sana. Kwasbb hao ambao hawajaandkishwa co wote n cdm. Pia cdm bado haiko vzur inaonesha haina uwezo wa kuvuta wapiga kura waliokwepo toka 2009 na hvo kutegemea hawa vijana wadogo kiumri ambao bado hawajakomaa na kuchanganua mambo.
 
Cdm acheni ukabila udini ukanda udhaifu huo ndio unaowacost wenzenu wanautumia na wananchi wanapima na kuona ni kweli.watu sio wajinga wanaona kwa macho yao .acheni siasa za kishenzi za kumchafua zitto,uchafu utawarudia wenyewe
 
napendekeza hiyo M4D itafutiwe neno la kiswahili itakuwa bora zaidi!
 
Sasa ndiyo umesema nini mkuu kwani hao wapiga kula wanaojitokeza kwa nini wasiichague chadema kama kingekuwa chama chenye maana kwa jamii.

mkuu mambo mengine jaribu kuona aibu utakuja kutia aibu kweli siku za usoni yani hapo mzee umezidi kumpoteza .

mwambie kuwa chama chako ndiyo kibovu hakina sera pia kinaongozwa na kuendeshwa kilaghia kabisa.
 
wakazie elimu ya uraia watu waende kupiga kura,iyo inatosha itafika mahali watu watawaelewa tu CHADEMA,elimu ya uraia ipewe mkazo
 
Je ulimshauri nini juu ya wale wanakijiji na hasa akina mama waliotishiwa kuwa watakiona wasipochagua CCM? Mabalozi walitembea nyumba zote na kuwa tisha sana, kwa hili ulimshairi nini?
 
Mkuu endelea kumshauri babu madudu na utegemee pengine atakukubalia.
Akikubali imekula kwake anyway.

Swali la kujiuliza kwako, kama una akili ya kuchambua maswala, ni kwamba, kama CHADEMA wamekuwa popular na chopa kutengeneza inroads kwa uanachama watu waliokuwa CCM, Walioandikisha hiyo 2009 wako wapi?

Msijipe sababu ambazo na nyie wenyewe mnajua hazina mashiko.
Chances are hata daftari likiboreshwa kesho, wananchi wengi zaidi watachagua CCM, maana zaidi ya kulalama na polisi na maandamano, CDM haina mchango wowote kimawazo jinsi ya kuliendeleza ztaifa hili.

Msifikiri wTanzania ni wajinga, they know where their hearts lie.

Na kama ni wewe ulimshauri juu ya kukodi chopa tatu, matokeo yake mmeshayaona.

TUANZE KUSAHIHISHA ULIPOMALIZIA , CHOPA HAZIKULETWA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA KATA , futa hilo ANDIKO LAKO , LA PILI NI KWAMBA ZAIDI YA VIJANA MIL 5 UNUSU WANASUBIRI KUANDIKISHWA , NA UKUMBUKE KUWA NI KIJANA M. W. E . HU PEKEE AU LABDA MTOTO WA KIONGOZI AMBAYE INAFAHAMIKA ANACHOPIGANIA , NDIYO ANAWEZA KUCHAGUA CCM .
 
Kwa akili yao ndogo walibweteka na kuvimba kichwa, kumbe wabongo wana macho na wanamasikio,wabaguzi wakubwa na wakanda CDM.
 
TUANZE KUSAHIHISHA ULIPOMALIZIA , CHOPA HAZIKULETWA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA KATA , futa hilo ANDIKO LAKO , LA PILI NI KWAMBA ZAIDI YA VIJANA MIL 5 UNUSU WANASUBIRI KUANDIKISHWA , NA UKUMBUKE KUWA NI KIJANA M. W. E . HU PEKEE AU LABDA MTOTO WA KIONGOZI AMBAYE INAFAHAMIKA ANACHOPIGANIA , NDIYO ANAWEZA KUCHAGUA CCM .
Mkuu you cannot undo mistakes and history, na ndiyo maana kama kuna anything to emulate from past experiences, basi mkodi sasa chopa TANO for good measure.
 
Mkuu endelea kumshauri babu madudu na utegemee pengine atakukubalia.
Akikubali imekula kwake anyway.

Swali la kujiuliza kwako, kama una akili ya kuchambua maswala, ni kwamba, kama CHADEMA wamekuwa popular na chopa kutengeneza inroads kwa uanachama watu waliokuwa CCM, Walioandikisha hiyo 2009 wako wapi?

Msijipe sababu ambazo na nyie wenyewe mnajua hazina mashiko.
Chances are hata daftari likiboreshwa kesho, wananchi wengi zaidi watachagua CCM, maana zaidi ya kulalama na polisi na maandamano, CDM haina mchango wowote kimawazo jinsi ya kuliendeleza ztaifa hili.

Msifikiri wTanzania ni wajinga, they know where their hearts lie.

Na kama ni wewe ulimshauri juu ya kukodi chopa tatu, matokeo yake mmeshayaona.

huna jipya zaidi ya kuendekeza ushabiki maandazi!!! mimi mwenyewe sina kadi ya kupiga kuralakini ya uanachama wa cdm ninayo hapo unategemea nini??? na ulishawahi kujiuliza kwa nini ccm hawataki liboreshwe????? subiri liboreshwe uone mwenyewe uchaguzi wa serikali za mitaa,hapa nilipo sioni mtaa utakaochukuliwa na ccm!
 
Mkuu tutawafunga magoli yaleyale , uwanja uleule!
Kilichokufanha usijiandikishe miaka hiyo unakijua mwenyewe.
 
Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?

mbona wewe ofisi yako ya vitunguu pale TANANGOZI uliifunga baada ya kupata dili la kubeba maboksi na sisi tunaokufahamu hatukusema hadharani bhana !
 
Back
Top Bottom