franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Just speculations hizo...Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
Mkuu nakuelewa sana, kuna jukwaa la historia ila hawaendi huko, huyo story yake anatafuta wachangiaji aina kama ya aliyesema.. "Na wa hapa mwisho wake utakuwa hivyo hivyo", . Sijakurupuka kumwambia nilivyomwambia.Wapo wengi sana ambao wanaazisha thread ili kujifurahisha na kufurahisha kundi fulani.Tuna matatizo mengi nchini,lakini sio kwa kiwango cha uzushi unaoendelea hapa JF hasa kipindi hiki.Fuatilia kwa makini utaelewa ninachojaribu kumaanisha hapa.Just speculations hizo...
Plse tuwe wavumilivu.
Vijana walio wengi Jamvini, hawajui history East Europe...
Huyo Late Rais aliwahi kuja Tz kabla ya machafuko nchini kwake...
Sasa wewe unataka kila MTU afurahie utawala uliopo ili iweje?,akiwa HATER wewe unaathirika vipi?unataka wote tuwe na mawazo mfanano?.kweli naanza kuamini wewe ni bonge la MJINGA.Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
Mkuu mbona hasira au kwa kuwa dikiteka Nikolai sausesiko alipigwa risasi??Wewe ni MPUMBAVU tu, kama umewahi toka nje ya Tanzania basi ulienda kusomea ujinga. Reasoning capacity yako na IQ yako vipo chini. Kila unachopost JF thread zote ni pumba tu, kama story yako inaelezea maisha yako inatafuta nini kwenye jukwaa la siasa?, inahusianaje na siasa?, au unadhani kila mtu ni MPUMBAVU kama wewe?,.. Nitaendelea kukukumbusha kila ninapokuta umeandika pumba zako, na hapa nakukumbusha wewe ni MPUMBAVU first grade.
Mbona wapo HATERS wengi sijawatukana?,. na wewe ukianzisha thread kama yake kwenye jukwaa la siasa utakuwa ni MPUMBAVU pia.Jaribu kuelewa maana yake kuleta hii story yake jukwaa la siasa,kama huelewi na wewe utakuwa kama yeye.Sasa wewe unataka kila MTU afurahie utawala uliopo ili iweje?,akiwa HATER wewe unaathirika vipi?unataka wote tuwe na mawazo mfanano?.kweli naanza kuamini wewe ni bonge la MJINGA.
Sawa.. Mliberali FAKE.Mkuu mbona hasira au kwa kuwa dikiteka Nikolai sausesiko alipigwa risasi??
Lakini dawa ya madikiteta ni kupigwa risasi tu.
Wewe unataka kwenye jukwaa la siasa zije thread za aina gani?.na wewe umekuwa nani kiasi cha kuwa na maamuzi juu ya nini watu waandike na nini wasiandike?.Mbona wapo HATERS wengi sijawatukana?,. na wewe ukianzisha thread kama yake kwenye jukwaa la siasa utakuwa ni MPUMBAVU pia.Jaribu kuelewa maana yake kuleta hii story yake jukwaa la siasa,kama huelewi na wewe utakuwa kama yeye.
Baba yangu yupi? Kuna aliye mbinguni, kuna wa hapa duniani. ... specify nijue nampelekea yupi huu upuuzi wako hapa. Think before your write before you drive me madHili ni tukio,mlevi ni baba yako punda wewe
mara walikimbia kusikojulikana, mara wakarudi wakajifungia chooni ,mara mwanajeshi akaja kugonga mlango, mara akawapeleka ubalozini, mara haba...yaaani kaaazi kweli kweliMara chatu mara ng'ombe mara mzungu mara Bucharest mara Moldova mara godoro yaani kila ukiunganisha dots unapata maluelue tu..
Napinga ujinga wa mabeberu sio kwamba napinga kila kitu cha mzungu.Mbona unaandika kwa lugha ya mabeberu, au umesahau kuwa hata wewe una swim with tides of white
Najua una hasira sana mimi kwa sababu simuungi mkono Dikteta uchwara aliyeiuza nchi Rwanda kwa Kagame na alivyo punguani anatekwa akili na kushawishiwa kupewa ulinzi na Kagame.Hahaaa... Umepanic?,. Uwe unatumia akili kabla ya kupost kitu jukwaa la siasa.Unaleta story za udikteta humu unamaanisha nini?,narudia mara nyingine WEWE NI MPUMBAVU.FULL STOP.
Yes I hate Magufuli, unanilazimisha nimpende? Mpende na familia yako, eti mimi ni hater,mpumbavu kweli wewe.Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
haya maswali waulize watu wasiokujua mlengo wako.How does my story relate by Ufipa?kwanini mkisikia Dikteta your heart beats move rapidly?
Wewe Ni mwehu, tena konkodiJana kuna uzi mmoja nilikwambia wewe ni MPUMBAVU,,. na naendelea kukukumbusha kuwa wewe ni MPUMBAVU. Unapoteza muda wako mwingi bure, huko Tanzania ya uhalisia mbali na mitandaoni maisha yanaendelea kama kawaida. Ukija kushtuka kuwa unapoteza muda wako bure kuandika UPUMBAVU wako itakuwa TOO LATE.
Hilo nalijua sana mkuu na alikuwa rafiki mkubwa sana wa Mwalimu Nyerere,sasa namshangaa huyu anavyokuja kwa nguvu kuni attack, eti mimi ni mmoja wa hater wa current regime, sasa ananilazimisha kuipenda hii regime?Just speculations hizo...
Plse tuwe wavumilivu.
Vijana walio wengi Jamvini, hawajui history East Europe...
Huyo Late Rais aliwahi kuja Tz kabla ya machafuko nchini kwake...
Kweli kabisaa, aeshi darasa la Saba tuuOpposing allways everything with out understanding may led a person to be considered as mud.
Tuwe waelewa wa mambo tuyaonayo.
Baba yako wa duniani ndo mlevi,you should think deep before attacking somebodyBaba yangu yupi? Kuna aliye mbinguni, kuna wa hapa duniani. ... specify nijue nampelekea yupi huu upuuzi wako hapa. Think before your write before you drive me mad
Kwa hiyo unanichagulia jukwaa la kupost ndugu?haya maswali waulize watu wasiokujua mlengo wako.
Haya maswali waulize watu wasiojua kwanini stori hii ipo jukwaa la siasa.
Wewe ni ufipa kingine nini?
Au unafikiri watu wote hapa ni nyambole wasiweze kung'amua lengo la hadithi yako?
Leta ya Ceasar kama unayo muendelee kufarijiana wana ufipa.
sijakupangia na kamwe sitakupangia wapi pa kupost ndio maana nimekushauri ulete hadithi ya Ceasar kama unayo ila tegemea comment zangu zitakuwa za kisiasa maana stori ipo jukwaa la siasa.Kwa hiyo unanichagulia jukwaa la kupost ndugu?
Kweli wonders shall never end,mbona mods wameridhia ikae political forum? au na mods ni ufipa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app